Diamond sasa mnyonyaji mpya mjini

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Rich mavoko alipotaka kuvunja mkataba aliambiwa atoe milion 250 akachemka matokeo yake kila kitu akampoka mpaka akaunti za kijamiii

harmonize alipotaka kujitegemea akaambiwa atoe milion 500 kuvunja mkataba kisha na gharama za kurecord kila nyimbo

rayvanny alijaribu kuuliza ki utani utan je yeye watamtoza bei gani ameambiwa kuvunja mkataba milion 400

hans stone ameshindwa kusaini mkataba na wasafi sababu mkataba ulikuwa wa miaka 20
 
Nadhani kuna project maalum ya kumshusha jamaa maana sio bure post za kumponda zimekuwa nyingi sana
 

Mimi ndo papaaa misifa alinilipa milion 18 zile zilikuwa mbwembwe ili kuendelea kumpa jina
Sawa Papa Misifa.
 
S mnyonyaji tu , ni mafia wa mziki tena huyu dogo awe makini wasije mpoteza over
 
Wewe ulitaka awatoze sh ngapi?

Ila kuna watu ni wajinga sana !

Unafahamu lolote kuhusu mikataba ?

Unajua yeye diamond katumia sh ngapi mpaka watu hao wakakubalika na jamii


Narudia tena hili swali unajua lolote kuhusu mikataba ?
 
WCB na mikataba ya kina chifu mangungo.
 
We jamaa hilo bao bora mshua wako angepiga puli..
Hivi mkataba wa harmo kwa akili yako unadhani ulikua na thamani ya sh ngapi kwa ukubwa wa harmo??
Mimi naona hata mil 500 ni ndogo sana kwa jinsi harmonize alivyo msanii mkubwa..
Pia wakati wanasign hio mikataba kwani walisignia bar?? Mbona kusign walikua kimya lakini kwenye kuvunja wanakuja hadharani kutafuta huruma ya watu.
 
Ila sinakubaliana kwenye mikataba yao ya kazi
So ni jambo LA kawaida sana
Mond amewatoa RAIA wengi sana kwenye mavumbi
Wakati wanasiani mkata wenyew walikuwa hawana kitu so ikawa raisi sana kwao kusain mkata ili watoke kimaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…