Diamond sasa mnyonyaji mpya mjini

Kukiwa na mkataba ulio wazi tangu awali umesaini mwenyewe baada ya kupitia terms zote iweje useme ni unyonyaji?? Ama hawa wasanii wetu hawajui kusoma ama wanadaiwa vitu ambavyo havikuwa kwenye mkataba!!!
 
Wewe ulitaka awatoze sh ngapi?

Ila kuna watu ni wajinga sana !

Unafahamu lolote kuhusu mikataba ?

Unajua yeye diamond katumia sh ngapi mpaka watu hao wakakubalika na jamii

Narudia tena hili swali unajua lolote kuhusu mikataba ?
sawa contractist
 
Nafahamu kukushinda hata wewe aisee uliza nikuelekeze
 
Bao lako bora maza ako angelinywa akalimeza hivi unajua vipengele vingine vilivyokuwa ndani ya huo mkataba? Huwezi weka mkataba kuwa kampuni itakukadiria ukitaka kutoka unajua kuwa mondi mara ya kwanza alitaka milion 200 ila roho mbaya ya mama dangote akawaa anashinikiza iwe milion 800? Usiseme kitu kama hujui
 
Kukiwa na mkataba ulio wazi tangu awali umesaini mwenyewe baada ya kupitia terms zote iweje useme ni unyonyaji?? Ama hawa wasanii wetu hawajui kusoma ama wanadaiwa vitu ambavyo havikuwa kwenye mkataba!!!
Umeuona huo mkataba??
 
Umeuona huo mkataba??
Kijana naona unateseka Sana na WCB Mara useme wanaudini Mara hiv Mara hiv unapoteza muda wako bure Bora muda huo utumie kujiletea maendeleo wakati wenzako wanna wafuasi wengi na wanaopenda nyuzi zako hiz hazitasaidia kitu na diamond anapendwa cos ya mziki wake anawapa watu anachotaka na uzi wako 98% hawatakuunga mkono ulichoandika.Fanya mambo yanayokuhusu kuliko kushughulika na mambo yasiyokuhusu.
 
Kwanza anatakiwa amshukuru Domo kwa kumutoa jalalani
Kuna mijitu mengine akili Haina Kama mtoa mada anazani uzi wake utapata sapoti kubwa badala yake 98% ya members wa humu wameukataa hoja yake.Mtoa mada anatakiwa asome alama za nyakati alafu namshauri arudi shule.
 
Wewe ulitaka awatoze sh ngapi?

Ila kuna watu ni wajinga sana !

Unafahamu lolote kuhusu mikataba ?

Unajua yeye diamond katumia sh ngapi mpaka watu hao wakakubalika na jamii

Narudia tena hili swali unajua lolote kuhusu mikataba ?
Kwani nyie mliwahi kujua Ruge na Clouds walikuwa wanatumia sh ngap?? Mbona mliwaita wanyonyaji???
 
Kimkyando siandiki ili watu waniunge mkono mmi nafikisha ujumbe wangu kama ulivo hata kama muziki wake unapendwa diamond nj myonyaji unajua kwa nini hanstone mpaka leo hajatoka na walikuwa washasaini mkataba wa awali?? Kupewa gari kwenye harusi yako isiwe kigezo bbwana kimkyando
 
Kuna mijitu mengine akili Haina Kama mtoa mada anazani uzi wake utapata sapoti kubwa badala yake 98% ya members wa humu wameukataa hoja yake.Mtoa mada anatakiwa asome alama za nyakati alafu namshauri arudi shule.
Mimi nakuzidi elimu wewe na mke wako sasa kama wewe unakaounti zaidi ya 5 na zote unaingia nazo hapa nifanyaje
 
Unavunjaje mkataba wakati pesa yako ni ya mawazo ? kule Ulaya ukivunja mkataba na MOU lazima upate maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…