Diamond sasa mnyonyaji mpya mjini

'vijana waliosaidiwa na mond wakumbuke walikotoka na hapo walipo leo hii ukizunguka mtaani kuna wasanii weng hawjui watokee wapi msanii kujenga nyumba tatu kwa miaka mitatu tu sio jambo dogo wakina yamoto walitoka ata pesa yakulipa kodi walikuwa hawana
 
Hiyo hela ni ndogo sana tena mond kamfanyia uungwana sana unapovunja mkataba kabla haujaisha lazima ulipe gharama za huo mkataba hili liko wazi dunia nzima,kama unaona mond ni mnyonyaji jaribu kufuatilia mikataba ya nchi zingine zilizoendelea kimziki uone haya mambo yanavoenda usipende kulishwa maneno.Juzi hapa Kanyewest alikua analalamika amesaini mkataba wa maisha na kampuni ya EMI 2003 yaani mkataba haumruhusu kustaafu mziki mpaka kufa kwake.soma The FADER › kan...
Web results
In EMI lawsuit, Kanye West claims contract prohibits him from retiring | The ...
 
Diamond huyu huyu aliekuwa alilia na Ruge kuwa ni mnyonyaji nae leo kawa hivyo? Ama kweli mondi anataka kila ufalme hata wa roho mbaya. Mkataba wa miaka 20? Kalagabaho!
 
Diamond huyu huyu aliekuwa alilia na Ruge kuwa ni mnyonyaji nae leo kawa hivyo? Ama kweli mondi anataka kila ufalme hata wa roho mbaya. Mkataba wa miaka 20? Kalagabaho!
Wewe huo mkataba wa miaka 20 umeuona? Usiamini kila unachokisikia.
 
Harmo ndiye mtu pekee aliyekuwa akiingiza hela nyingi kwa Wasafi ukitoa Diamond ndio maana kaweza kutoka kirahisi. Hao wengine watabaki huko maana hawaeleweki
 
So mlikua mnamlaumu nini marehem Ruge ?
Tatizo la ruge ni moja mkishashindwana maslahi anakimbilia kutopiga nyimbo zako msanii sometime msanii unaogopa kukataa kupokea offer waliokupa clouds hatakama ni ndogo kuofia kutopigwa ban kwa ngoma zako mfano diamond aliwakatalia show mbili za fiesta kutokuridhika na kiwango Cha fedha watakachomlipa ili likapita ikaja Jambo lingine likaja la harmonize clouds walitaka kuandaa show kuajili ya harmo bila harmo kulipwa badala yake watampa promo redioni diamond akakataa cos ametumia kiasi kikubwa kumfanya awe mkubwa eti Leo atumike bure hiv hiv akakataa baada ya hapo tukaona clouds hawapigi ngoma za wasafi na ndo hapo bifu likainuka Kati ya WASAFI na CLOUDS.
 
Kasikilize ile interview. Harmo kamshukuru sana Mondi na hata kutoka walikaa wakaongea
 
Diamond huyu huyu aliekuwa alilia na Ruge kuwa ni mnyonyaji nae leo kawa hivyo? Ama kweli mondi anataka kila ufalme hata wa roho mbaya. Mkataba wa miaka 20? Kalagabaho!
Naona umeongea pumba na pia unaonekana ujui chochote zaidi ya udaku.
 
Naona umeongea pumba na pia unaonekana ujui chochote zaidi ya udaku.
wasiokuwa na hoja huwa na vioja, umejiona bwege umeanza kuropoka. nimefunga mjadala na wewe huwa sijibu punguani, nilikuwa sijajua level ya uelewa wako ndio maana nilikujibu, alamsiki.
 
Pima akili yako kama inaendana na ubongo wako. Unajua maana ya mkataba?
 
Diamond huyu huyu aliekuwa alilia na Ruge kuwa ni mnyonyaji nae leo kawa hivyo? Ama kweli mondi anataka kila ufalme hata wa roho mbaya. Mkataba wa miaka 20? Kalagabaho!

Kwani kosa la Diamond ni nini?
 
Kwani yope Ni wimbo wake ??? Au hujui hata huko YouTube huu wimbo haupo kwenye account yake . Hii nchi imejaa wajinga Sana Kama wewe

kwendaa,sio wimbo wake...lakini amekua creative about it,kaangalie tena wimbo original na aliotoa akimshirikisha Diamond,views zake,koma kuniita mjinga mpuuzi wewe!
 
Kwa nini unaamini kuwa Hamornise kalipishwa milioni 500, uliona? Kwanini usiamini mkataba wa mika 20?!

Kalipishwa hiyo hela ndogo kutokana na kuvunja mkataba yeye mwenyewe na unafikiri hiyo hela inatosha kulinganisha na uwekezaji ulio fanyika kwake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…