Diamond sasa ni kubadili mafanikio kuwa hela

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila mondi anazimikia Rolls Royce.
Avute basi Rolls Royce Phantom!!!

Kama second hand/used cars kutoka Japan zinawafanya wasilale...sembuse Eroupean cars tena brand new? 🀣🀣🀣🀣🀣. Atleast enzi za kina chameleon, bebe cool, bobby wine kutoka uganda walijaribu kwenye issue ya magari
 
Maswali 3:

- umejuaje Diamond hana hela?
- nani kakwambia mafanikio ni ndege?
 
Maswali 3:

- umejuaje Diamond hana hela?
- nani kakwambia mafanikio ni ndege?
Nilishatoa ufafanuzi kwamba ndege nimetoa kama mfano tu lakini hoja ya msingi ni mafanikio ya kifedha kwa ujumla!!!
Sijasema mondi hana hela. Nimesema anaweza kuingiza hela zaidi. Na ndio ikaja hoja kwamba si ajabu angekuwa mganda au mkenya angekuwa na mchongo mrefu kuliko alionao sasa!!!
 
Kwahiyo kama uwaamini FORBES unaamini nani sasa maana hao wanaenda kwa data, Basi mimi tajiri kuliko wote Africa.

Then ujaelewa jamaa anazungumzia nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga ni ugonjwa, hivi mafanikio ya mtu ya kifedha unayajuaje? Umeona mikataba ya kazi zake? Umejua analipwa shillings ngapi? Unajua matumizi yake? Ndugu yangu, solve matatizo ya watu Achana na ya watu!
 
Sifahamu wenye ndege zaidi ya jaguar. Ila navyofahamu wengi wa kiwango cha kati wana mafanikio kifedha kuliko wenzao wenye kiwango hicho hicho waliopo bongo. Kwa hiyo nazungumzia mafanikio kwa ujumla si kununua ndege tu
Sidhani kama pesa ya muziki ndiyo iliyomfanya Jaguar akanunua kale 'kandege'. Ni sawa na leo Mo Dewji akatoa track halafu tukasema muziki umemfanya Mo bilionea which is wrong.
 
Ujinga ni ugonjwa, hivi mafanikio ya mtu ya kifedha unayajuaje? Umeona mikataba ya kazi zake? Umejua analipwa shillings ngapi? Unajua matumizi yake? Ndugu yangu, solve matatizo ya watu Achana na ya watu!
Mkuu mbona unakuja na munkari!? Tunajua mondi ana mafanikio. Hapa ni changamoto nimeweka mezani ajiongeze zaidi. Sasa unapokuja na matusi yako hayo ndio tufuate usemacho au tukuogope?
 
Sidhani kama pesa ya muziki ndiyo iliyomfanya Jaguar akanunua kale 'kandege'. Ni sawa na leo Mo Dewji akatoa track halafu tukasema muziki umemfanya Mo bilionea which is wrong.
Jaguar ni mfanyabiashara alieanzia kwenye mziki baadae akawa mwanasiasa.
 
Jaguar ni mfanyabiashara alieanzia kwenye mziki baadae akawa mwanasiasa.
Umeandika vice versa mkuu....ni hivi Jaguar ni mwanamuziki aliyeanzia kwenye biashara baadae akawa mwanasiasa
 
Umeandika vice versa mkuu....ni hivi Jaguar ni mwanamuziki aliyeanzia kwenye biashara baadae akawa mwanasiasa
Basi we endelea kumdadavua jaguar ambae si msingi wa uziπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Forbes ni wafanyabiashara pia...huwa wanatetea ugali wao kwa style hio. Jaribu tu kufikiria kwa akili ya kawaida utapata jibu haina haja ya kleta ushahidi hapa mkuu
Kama nakupata mana niliona kiba Ana utajiri 4+ million dollars na mondi Ana 5+ million dollars sikuamini hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe unamilik nini? Wabongo bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…