Burnaboy
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 1,070
- 1,439
- Thread starter
- #121
Mkuu mimi ni mdau tu wa sanaa silipwi na mtu. Kwa sababu kama nalipwa nisingeukosoa uongozi wa watu hao hao wanaonilipa!!! Mkuu mbona hili liko wazi huoni?
Hizi ulizoleta hapa ni blog uchara watu hawana cha kuandika wanawinda habari kila mahali halafu wanamodity. Kanjanja hao mkuu. Naomba ieleweke hivyo.