Diamond: Sifikirii kuoa

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Wakati bimkumbwa Wema Sepetu akijiaminisha kua ni mke mtarajiwa wa msanii Diamond platnum
Platnum kafunguka na kusema hafikiriii kuoa, Mama ubaya tumbo jotroooo na pete yake ya ndoa aliyojivisha mbona kazi ipo
WAHENGA WANASEMA "KUPENDA SIO KAZI ,KAZI NI KUMPATA ANAEKUPENDA"

TEAM Wema kazi kwenu kumshauri na kumsifia madame wenu kajiwekesha na kujiaminishaa halaf mwanaume anaongea hadharan kua hafikirii kuoa kwa hiyo yupo na Wema kwa muda tu ndio maana hiyo atii"!!!
,,,,team wema mtaponda mawe lakin shemeji yenu ndio hiyooo,,,,,,,
Source : ijumaa
 
Kazi anayo dai anamtumia kinyota zaidi mi naona hata hawaendi Wema akiwa naye utafikiri mtu na mwanaye namhurumia asije akamwacha tena
 
Kazi anayo dai anamtumia kinyota zaidi mi naona hata hawaendi Wema akiwa naye utafikiri mtu na mwanaye namhurumia asije akamwacha tena

Hamna cha nyota wala ninii angekua na nyota angejijenga yeye hiyo nyota ya uzuraraji au !!!?? Dai anajituma kwa nyota yake
 
haha nouma kweli. hilo ni pigo kwa mama ubaya
 
Hamna cha nyota wala ninii angekua na nyota angejijenga yeye hiyo nyota ya uzuraraji au !!!?? Dai anajituma kwa nyota yake

Si team yake wanadai madame ana nyota inaonyesha dai kashamchoka na life style hajishughulishi kakaa tu hapo alikuwa ana mpa message tu kama atakuwa muelewa
 
Koh koh koh ngoja nicheki movie itakavyoendelea

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kazi wanayo......sasa mbona anamwangaisha mwenzake kuvaa na kuvua pete.....
 
Si team yake wanadai madame ana nyota inaonyesha dai kashamchoka na life style hajishughulishi kakaa tu hapo alikuwa ana mpa message tu kama atakuwa muelewa

Nyota ya kukaa hiyoo teh tehh.....
 
Si team yake wanadai madame ana nyota inaonyesha dai kashamchoka na life style hajishughulishi kakaa tu hapo alikuwa ana mpa message tu kama atakuwa muelewa

si ana kpindi chake my foot cjui my shoes
 
Labda Almasi naye machale yanamcheza, coz Mama ubaya alivyojaa WEMA, na Alamasi mwenyewe ni mtu wa kukwea pipa kila kukicha kama anachora ramani ya dunia....siamini kama wale kina "Cleme na kundi lake" wanaacha "kumsabahi" mamsap.
 
ila Diamond na Wema hawaendani,wema anaonekana kazeeka
 
Wakiachana this time lazima tutamzika mmoja kati yao maana naamini binti wa Sepetu kama hajachinja yule Nassibu tutaambiwa kala zake sumu ya panya ili biashara iwe nyepesi hawezi kukubali katumika sana safari hii tena kajilipua haswaaaa duh uyu Nassibu naona anatafuta kufupisha kupumua kwa kupigwa na vitu vizito vyenye ncha kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…