Diamond: Sifikirii kuoa

Diamond: Sifikirii kuoa

Mi namuonea huruma jaman akiachwa sasa ivi sijui itakuaje manake anavyojipendekeza kwa hao wakwe!!!na team zake wanavompa kichwa Mrs,chibu.....
 
nchi haiwezi kuendelea kama mtaendelea na upuzi huu wa kujadili watu.. acheeeeni ujuha. yako mengi yakufanya ..
 
Diamond ameshaona kama anatambulika kimataifa hii ndiyo sababu kuu..Kwa hivyo basi..

1. Ili jina lake lizidi kupaa atahitaji kuwa na Mbebs kutoka Nje.. Akitokea USA itakua vizuri zaidi..Hata katika mahojiano kasema hakuamini kumuona Rihana amekaa Nyuma yake..

2.Anathamini Sifa kuliko Maisha halisi..Hili tatizo liko kwa watoto wengi kutoka Uswazi..

3.Wema ana Umaarufu wa magazeti na siyo Kutokana na kazi zake ..Hivyo Msaada wa Wema ni mdogo Anga za Kimataifa..

4.Ametambua thamani yake baada ya BET ..

5.Kidume yeyote anatamani kuwa na Mke ambaye hajachezewa sana...Hasa ikiwa wachezeaji unawajua...Mbaya zaidi wakuzidi kipato..

Haya ni Mawazo yangu tu..Ni kawaida kabisa Mtu akinunua Shati jipya..Anaona suruali imechakaa..Diamond wa sasa siyo yule wa Tandale..Pole sana Wema.

Kama Ana Hamu Ya Msoto Ajaribu Hilo La Kwanza.....Kibiashara Zaidi,Maana Soko Lake Liko Bongo Zaidi...Huko Nje:..Mmmmh.....Ni Kama Sie Vibonge Na Ndoto Za Kuolewa Na Mzungu,Meaning Wa Labda Ampate Mmana Wa Kitalii Au Dada Wa Kawaida Tuuuu....
Note:
Yeye Mwenyewe Hana Hadhi Ya Mbebz Wa Njeeee......(Wema Atoshaaa)
 
  • Thanks
Reactions: prs
tuuche upuuziii, huu ni ujuha . kufikiria maisha ya watu ni utumwa wa mawazo.. acheeni maisha ya watu nchi iiendeleeee...fanye kazi ..
 
tuuche upuuziii, huu ni ujuha . kufikiria maisha ya watu ni utumwa wa mawazo.. acheeni maisha ya watu nchi iiendeleeee...fanye kazi ..

Umeitwaaa"!!!! Yesu mwenyewe anasemwa sembuse wema we vipiii
 
atakapofikiria si ndo atamuoa Wema wake jamani mbona maneno hivyo!!
 
tuuche upuuziii, huu ni ujuha . kufikiria maisha ya watu ni utumwa wa mawazo.. acheeni maisha ya watu nchi iiendeleeee...fanye kazi ..

Sasa mbona na wewe umecomment huo muda si uendelee kufanya kazi, hujaitwa huku
 
akufukuzae hakuambii toka.mama ubaya amejaa sifa za misukule wake huko insta basi anajiona kesha kuwa mrs.hana tofauti naa dada ake aliyerudi kwa wakwe.Rent si mchezo LA
Wakati bimkumbwa Wema Sepetu akijiaminisha kua ni mke mtarajiwa wa msanii Diamond platnum
Platnum kafunguka na kusema hafikiriii kuoa, Mama ubaya tumbo jotroooo na pete yake ya ndoa aliyojivisha mbona kazi ipo
WAHENGA WANASEMA "KUPENDA SIO KAZI ,KAZI NI KUMPATA ANAEKUPENDA"

TEAM Wema kazi kwenu kumshauri na kumsifia madame wenu kajiwekesha na kujiaminishaa halaf mwanaume anaongea hadharan kua hafikirii kuoa kwa hiyo yupo na Wema kwa muda tu ndio maana hiyo atii"!!!
,,,,team wema mtaponda mawe lakin shemeji yenu ndio hiyooo,,,,,,,
Source : ijumaa
 
Back
Top Bottom