CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
“Harmonize ana nguo ameshanunua kwa gharama ya Tsh. Milioni 6-7 na zipo zimekaaa kabatini, kitu ambacho mimi katika maisha yangu yote sijawahi kukifanya na wala ujinga huo kwanza sina”
Hayo sio maneno yangu mimi ni maneno ya Diamond mwenyewe akimuongelea Harmonize
Unajifunza nini katika sentensi/maneno hayo toka kwa Diamond?
Mtofautishe Diamond na Harmonize kwa hilo tu.
Hayo sio maneno yangu mimi ni maneno ya Diamond mwenyewe akimuongelea Harmonize
Unajifunza nini katika sentensi/maneno hayo toka kwa Diamond?
Mtofautishe Diamond na Harmonize kwa hilo tu.