Diamond hawezi kuongea maneno Kama hayo ukitaka kuona mtoa mada ni muongo mwambien aoneshe source ya taarifa yake Kama atakupa?Sawa hawezi kununua nguo ya milioni 7, mwenzake harmonize anaweza, tena nguo si anavaa mwenyewe akitaka. Yeye anaweza kuonga magari na nyumba kwa wanawake wa mjini, ndiyo raha yake. Which means wanaume wengine hawawezi kufanya hivyo. Kila mtu na maisha yake.