Huyu nae muongo. Nguo ya milioni saba?.
Yaani suruali na shati au suti
Au raba
Au saa
Au cheni
Hutaki au? wananunua ng'ambo in term of Dollars mzee baba naona umeshangaaHuyu nae muongo. Nguo ya milioni saba?.
Yaani suruali na shati au suti
Au raba
Au saa
Au cheni
Ana maanaisha garama za nguo zote alizonazo kabatiniHuyu nae muongo. Nguo ya milioni saba?.
Yaani suruali na shati au suti
Au raba
Au saa
Au cheni
mkuu hiyo ferragamo ni ndugu ya ke na ferrari ama..?na kama ni nguo ni kyupi chenye ac..? kama ni suruali ukivaa inapaa..?sasa bisheni kisa mmezoea viatu vya efshirini, nguo ni ghali nje aisee , Uk hiyo ferragamo ni pounds 319 approximately 950,000 kwa huku bongo, sa mnaona million 6 kununua nguo kama muujiza wakati ukinunua pair tano tu za ferragamo inakaribia hiyo 6mView attachment 1241546
Huyu jamaa anataka kutuingiza chaka diamond anayemzungumzia sasa hiv yupo marekani na kabla ya hapo diamond hajafanya interview na media yoyote.Haya mahojiano diamond aliyafanya lini na wapi? Huyu huyu Domo Leo hii anamzungumzia Hamornize kweli? Hebu leta chanzo hapa isijekuwa ni majungu
Mwambie huyo mtoa mada source ya hiyo interview katolea wapi Kama akikupa nakurushia 10k.Kwa hiyo kununua macheni, mapete na na madude ya mkononi kwa gharama kubwa sio ujinga eti!
Wewe ndio kiazi.Huyu nae muongo. Nguo ya milioni saba?.
Yaani suruali na shati au suti
Au raba
Au saa
Au cheni
Huyo mtoa mada kawaingiza Chaka diamond yupo USA na kabla ya hapo hajafanya interview na media yoyote.Angalizo...mwanamme kumdiscuss mwanaume mwengine ni umama....kwani mnasaidiana kutafuta pesa