Diamond: Sio kila rafiki yangu basi anatembea na dada yangu

Diamond: Sio kila rafiki yangu basi anatembea na dada yangu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Jana wakati akitolea ufafanuzi suala la yeye kuchepeka Hamisa Mobeto,Diamond alisema anashangazwa sana na tabia ya watu kuhusianisha kila rafiki wa dada yake basi yeye anatembea naye huku akienda mbele zaidi na kudai hali iko hivyohivyo sio kila rafiki yake basi anamkaza dada yake
"MAANA KILA MSHIKAJI WANGU MIMI A******* {ANALALA} DADA YANGU" Aliuliza Diamond Platinumz

Mdau unalolote kusema kuhusu matumizi ya lugha kwa huyu msanii namba moja Afrika?
 
Basi kwanza tupate burudani tukirudi tunaendelea na mada yetu, na burudani haitoki kwa mwingine ila ni kwa huyuhuyu msanii no 1# Africa nzima.🙁🙁
 
Jana wakati akitolea ufafanuzi suala la yeye kuchepeka Hamisa Mobeto,Diamond alisema anashangazwa sana na tabia ya watu kuhusianisha kila rafiki wa dada yake basi yeye anatembea naye huku akienda mbele zaidi na kudai hali iko hivyohivyo sio kila rafiki yake basi anamkaza dada yake
"MAANA KILA MSHIKAJI WANGU MIMI ANAMKAZA DADA YANGU" Aliuliza Diamond Platinumz

Mdau unalolote kusema kuhusu matumizi ya lugha kwa huyu msanii namba moja Afrika?

Huyo kushoto ni mjapani?
 
Sisi watu wa tanga tunaita mkaza mwana, na sio tusi kwetu,

Halafu naomba kuuliza huyu hamisa huwa anashughuli gani? Maana namuona ona tu ila sijui kazi yake rasmi
Huyo Hamisa ni international model unalingine kiongozi
 
Back
Top Bottom