MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
AND THEN ?You can take a kid out of Tandale, but you can't take Tandale out of a kid.
Kunguru hafugiki.You can take a kid out of Tandale, but you can't take Tandale out of a kid.
And then Waswahili watasema "Wa moja havai mbili".AND THEN ?
I thought hujui maana ya neno hilo nikasema nikuulize" sorry 4 that i don't mean itKwa tusi zito kama hili ....... kosa ni nini?
You can take a kid out of Tandale, but you can't take Tandale out of a kid.
Ndo maana yake. Mtu anaweza kuvaa suti kali na kutamba wasafi sana, lakini kubadilika kutoka ass kwenda class akashindwa.HA HA ASS IS ASS
Huyo kushoto ni mjapani?Jana wakati akitolea ufafanuzi suala la yeye kuchepeka Hamisa Mobeto,Diamond alisema anashangazwa sana na tabia ya watu kuhusianisha kila rafiki wa dada yake basi yeye anatembea naye huku akienda mbele zaidi na kudai hali iko hivyohivyo sio kila rafiki yake basi anamkaza dada yake
"MAANA KILA MSHIKAJI WANGU MIMI ANAMKAZA DADA YANGU" Aliuliza Diamond Platinumz
Mdau unalolote kusema kuhusu matumizi ya lugha kwa huyu msanii namba moja Afrika?
Mchepuko wa DomoHuyo kushoto ni mjapani?
Anhaa sawaMchepuko wa Domo
Good..umenikumbusha These walls ya Kendrick..You can take a kid out of Tandale, but you can't take Tandale out of a kid.
Huyo Hamisa ni international model unalingine kiongoziSisi watu wa tanga tunaita mkaza mwana, na sio tusi kwetu,
Halafu naomba kuuliza huyu hamisa huwa anashughuli gani? Maana namuona ona tu ila sijui kazi yake rasmi