mond ana video anamzidi views hata davido na wizkid.na nyingine kamzidi mpaka rick ross.Mashabiki wa Kiba ni oya oya tu hawampi support ya kutosha, jiulize pamoja na kiki ya tamko but kule Youtube mshumaa unawaka kwa kusua sua.
sema wewe tumfananishe na nani?breeze ama davido?Hivi bado mnamfananisha baba lao na kibakuli?!