Watu wanaomshabikia Kiba na kufikiria kumshusha Diamond wakiwemo mawingu watumie akili zaidi kuliko kutaka kupambana naye kwa vimaneno tu.
Diamond yupo mbali sana; kwanza kuanzisha hii Media House sio kitu kidogo.
Pili juzi Diamond katoa hii Baba Lao tayari ina views 1.5m Youtube. Alikiba kosa analofanya naye jana katoa mshumaa una view laki.
Diamond yupo anga nyingine sana kwa sasa. Kumleta Wizkid kwenye show sio kitu kidogo while Kiba anawategemea Clouds wamtengenezee show na wapambe wake.
Kiba pambana uwe na nguvu yako usiwategemee wapambe ili upambane na Diamond.