Jibu la Diamond Platnumz kwa shabiki aliyemwambia kuwa kwasasa amekua ashikanishikani na wanawake. Diamond kajibu comment hiyo kupitia ukurasa wa Instagram wa @wasafitv ambao shabiki huyo aliacha comment hiyo.
.
Nini maoni yako juu ya jibu hilo la @diamondplatnumz
.
Tembelea YouTube kuna stori kibao napatikana kama #RICKMEDIA
Mi sio sehemu ya kazi yangu, lakini siachi kushikana na mademu mpaka nakufa, kwasababu wana miili laini inayosisimua, na pia wananukia vizuri. Sasa nyinyi endeleeni kushikana na mijibaba wenzenu, acheni watu tufaudu.
Diamond Kula mzigo si wanakushobokea halafu usiwaachie hata Mia. Wadada wa tz ni washambaa mno.atakaeingia kwenye 18 zako Kula mzigo. Wanawake wa Tanzania sijui lini wataelevuka. Kula mzigo mpaka akili zao zikae vizuri
Diamond ni woman molester, iandikwe petition na kusainiwa na watu laki moja kwenda serikali ya kenya , marekani, Canada, na uingereza anyimwe visa na kiburi na manyanyaso kwa wanawake yataisha