Diamond: Sitoacha kushikashika Wanawake

Diamond: Sitoacha kushikashika Wanawake

RICK MEDIA

New Member
Joined
Jan 17, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Jibu la Diamond Platnumz kwa shabiki aliyemwambia kuwa kwasasa amekua ashikanishikani na wanawake. Diamond kajibu comment hiyo kupitia ukurasa wa Instagram wa @wasafitv ambao shabiki huyo aliacha comment hiyo.
.
Nini maoni yako juu ya jibu hilo la @diamondplatnumz
.
Tembelea YouTube kuna stori kibao napatikana kama #RICKMEDIA
PicsArt_08-24-04.17.45.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani hamjui kua wanapenda kushikwa, we dhania ni pambo tu la kuangalia tutakusaidia kushika tukikutana nae.
 
Mi sio sehemu ya kazi yangu, lakini siachi kushikana na mademu mpaka nakufa, kwasababu wana miili laini inayosisimua, na pia wananukia vizuri. Sasa nyinyi endeleeni kushikana na mijibaba wenzenu, acheni watu tufaudu.
 
fresh tuu mwache aendelee kupapasa dada zetu
 
Diamond Kula mzigo si wanakushobokea halafu usiwaachie hata Mia. Wadada wa tz ni washambaa mno.atakaeingia kwenye 18 zako Kula mzigo. Wanawake wa Tanzania sijui lini wataelevuka. Kula mzigo mpaka akili zao zikae vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujumbe mzuri kwa mganda

Wiki ilopita misa alipewa wiki hii bidada wiki ijayo .........

Wanajileta wape usiwanyime
 
Walivyo laini laini Hata mimi pia siachi ingawa sio sehemu ya kazi yngu
 
Diamond ni woman molester, iandikwe petition na kusainiwa na watu laki moja kwenda serikali ya kenya , marekani, Canada, na uingereza anyimwe visa na kiburi na manyanyaso kwa wanawake yataisha
 
Back
Top Bottom