Diamond soma alama za nyakati mapema

Diamond soma alama za nyakati mapema

pumzihaiuzwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2015
Posts
3,273
Reaction score
3,083
Wana jamvi salaam,
Kwako mpendwa msanii wa kimataifa ambaye tunajivunia kutolewa kimasomaso katika kila unacho gusa iwe tunzo na uwakilishi wako pande zote za ulimwengu.
Diamond adui yako mkubwa wa kukushusha carrier yako kamwe hatakua alikiba wala msanii yoyote yule kwasababu ulipofikia ni ngumu kushushwa kizembe lakini maadui wako wakubwa ni, familia yako ikiongozwa na Mama yako bisandra na dada yako Esma
Ebu jaribu kufikiria kidogo wasanii wenzio wa ndani na nje ya nchi je wanahatarisha vibarua vyao kwa kuhusisha familia? Kwamfano huyo mama yako ni mtu mzima sana mpaka anawajukuu lakini kutwa kutukanana na watoto mitandaoni huoni inakushushia heshima wewe ulie wa kimataifa?
Diamond sio kwa ubaya lakini mtu mwenye hekima, ingewezekana mtoekabisa huyo mama yako kwenye mitandao ya kijamii upo katika kipindi cha kuomba kura kwa nomination mbalimbali unategemea nn kwa hao wanao shinda kutukanwa na mama yako je watanunua bando lao kukupigia kura
Team najua zipo na ndio zina michango mizuri tu kwa upigaji kura lakini uyo mama yako tunajua anakupenda sawa lakini kwa kujidharirisha huko mitandaoni kwa matusi ya ovyo ovyo ataishia kutukanwa pia na watoto wadogo sababu yeye ndo wakwanza kujivunjia heshima ,
Simama kama mwanaume ishu zako za kifamilia hakikisha hazifiki mitandaoni ikiwezekana mtoe uyo mzee mitandaoni ana kushushia heshima ivi kwa mfano rafiki zako kina flavor, davido, neyo hao hawana familia? Hawana dada? Au mama tafadhali jipange sawasawa kiume.sijagusia ya mganda kwasababu ni mwanamke jasiri anayejua anafanya nini kwa wakati gani.

Nawasilisha kwa mifano hiyo[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Hii
1474806838625.jpg
1474806845346.jpg
1474806873536.jpg
 
Wana jamvi salaam,
Kwako mpendwa msanii wa kimataifa ambaye tunajiunia kutolewa kimasomaso katika kila unacho gusa iwe tunzo na uwakilishi wako panse zote za ulimwengu.
Diamond adui yako mkubwa wa kukushusha carrier yako kamwe hatakua alikiba wala msanii yoyote yule kwasababu ulipofikia ni ngumu kushushwa kizembe lakini maadui wako wakubwa ni, familia yako ikiongizwa na Mama yako bisandra na dada yako Esma
Ebu jaribu kufikiria kidogo wasanii wenzio wa ndani na nje ya nchi je wanahatarisha vibarua vyao kwa kuhusisha familia? Kwamfano huyo mama yako ni mtu mzima sana mpaka anawajukuu lakini kutwa kutukanana na watoto mitandaoni huoni inakushushia heshima wewe ulie wa kimataifa?
Diamond sio kwa ubaya lakini mtu mwenye hekima ingewezekana mtoekabisa huyo mama ako kwenye mitandao ya kijamii upo katika kipindi cha kuomba kura kwa nomination mbalimbali unategemea nn kwa hao wanao dhinda kutukanwa na mama yako je watanunua bando lao kukupigia kura
Team najua zipo na ndio zina michango mizuri tu kwa upigaji kura lakini uyo mama ako tunajua anakupenda sawa lakini kwa kujidharirisha huko mitandaoni kwa matusi ya ovyo ovyo ataishia kutukanwa pia na watoto wadogo sababu yeye ndo wakwanza kujivunjia heshima ,
Simama kama mwanaume ishu zako za kifamilia hakikisha hazifiki mitandaoni ikiwezekana mtoe uyo mzee mitandaoni ana kushushia heshima ivi kwa mfano rafiki zako kina flavor, davido, neyo hao hawana familia? Haeana dada? Au mama tafadhali jipange sawasawa kiume.sijagusia ya mganda kwasababu ni mwanamke jasiri anayejua anafanya nini kwa wakati gani.

Nawasilisha kwa mifano hiyo[emoji116][emoji116][emoji116]

Yeye ndio alimuweka huko so kumuondoa anaanzaje sio rahisi
 
Unaweza ukasema labda ni kwasababu hawana elimu..lakini ukageuka na kukumbuka yanayoendelea sasa ya yule professor msomi na wale ma-Dr wa "..nihurumie mimi nimekosea..sina pakwenda mimi.."

Mwisho utagundua kwamba busara na hekima bado vinaendelea kuwa vitu vya msingi sana katika utu wa binaadam
 
Hivi ukifika miaka 50 unatakiwa usiongee mind yako,lazima aongee maana wamezidi kumtukana
Hapana mkuu, ukiachilia mbali umri alionao mama huyo,tunaambiwa..
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, usije ukafanana naye.
 
Tatizo sio mama wala Diamond wala huyo Dada yake Diamond, Tatizo ni sisi watanzania tunaopoteza muda kuwafuatilia mitandaoni na kisha kuwafollow, kuwatag, kuwalike au kucomment kwenye Post zao. Kwa kufanya hivyo ndio tunachochea waendelee na huo upuuzi wao.

Njia rahisi ni kuwapotezea, tena kuwapotezea mazima, Tupige kimya tu, baada ya muda watagundua Upumbavu wao.
 
Inawezekana hakua na nia mbaya lakini huyo bibi anacho kifanya jamaa kinamuharibia uyo bibi akikutana na watoto wasio na adabu si watamtukana matusi ya nguoni [emoji16]
 
Nachelea kutusi watu lakini ndio kinamama wa uswahilini walivyo, haishangazi.
 
Huwezi amini mtu akiandika tusi mtandaoni huwa anajitambua kwamba sasa natukana kwenye comment hii nimkomeshe ingawa inaweza sababishwa na hasira, chuki na kisasi.
 
Back
Top Bottom