pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Wana jamvi salaam,
Kwako mpendwa msanii wa kimataifa ambaye tunajivunia kutolewa kimasomaso katika kila unacho gusa iwe tunzo na uwakilishi wako pande zote za ulimwengu.
Diamond adui yako mkubwa wa kukushusha carrier yako kamwe hatakua alikiba wala msanii yoyote yule kwasababu ulipofikia ni ngumu kushushwa kizembe lakini maadui wako wakubwa ni, familia yako ikiongozwa na Mama yako bisandra na dada yako Esma
Ebu jaribu kufikiria kidogo wasanii wenzio wa ndani na nje ya nchi je wanahatarisha vibarua vyao kwa kuhusisha familia? Kwamfano huyo mama yako ni mtu mzima sana mpaka anawajukuu lakini kutwa kutukanana na watoto mitandaoni huoni inakushushia heshima wewe ulie wa kimataifa?
Diamond sio kwa ubaya lakini mtu mwenye hekima, ingewezekana mtoekabisa huyo mama yako kwenye mitandao ya kijamii upo katika kipindi cha kuomba kura kwa nomination mbalimbali unategemea nn kwa hao wanao shinda kutukanwa na mama yako je watanunua bando lao kukupigia kura
Team najua zipo na ndio zina michango mizuri tu kwa upigaji kura lakini uyo mama yako tunajua anakupenda sawa lakini kwa kujidharirisha huko mitandaoni kwa matusi ya ovyo ovyo ataishia kutukanwa pia na watoto wadogo sababu yeye ndo wakwanza kujivunjia heshima ,
Simama kama mwanaume ishu zako za kifamilia hakikisha hazifiki mitandaoni ikiwezekana mtoe uyo mzee mitandaoni ana kushushia heshima ivi kwa mfano rafiki zako kina flavor, davido, neyo hao hawana familia? Hawana dada? Au mama tafadhali jipange sawasawa kiume.sijagusia ya mganda kwasababu ni mwanamke jasiri anayejua anafanya nini kwa wakati gani.
Nawasilisha kwa mifano hiyo[emoji116][emoji116][emoji116]