Diamond soma alama za nyakati mapema

Mmeshaambiwa "Ngo kigoma hatoki boyi" (in braza K voice)muangalie asiwashukie huku huku
 
Umeongea maneno ya maana sana
 
Hapo wakusoma alama za nyakati ni mama yake haiwezekani yuko age ya 50's anakuwa mjingamjinga
50's....[emoji15] [emoji15]
Basi atakua analingana na moyo mashine wangu nilie fahamiana nae humu jeiefu...[emoji39] [emoji39]
 
MAMA LA MIAKA 50,KWANINI WEWE ULITUKANE ......??
Mtu Mzima Kwenye Social Media Unatafuta Nn Kwanza.. Hufanyi Business Wala Nn Unapost Tu. bora Ukae Ule Hela Za Mwanao tu kuliko kujidhalilisha..

Ndo Matatizo Ya Uswazi Kina kwa kina Manfongo
 
Mtu Mzima Kwenye Social Media Unatafuta Nn Kwanza.. Hufanyi Business Wala Nn Unapost Tu. bora Ukae Ule Hela Za Mwanao tu kuliko kujidhalilisha..

Ndo Matatizo Ya Uswazi Kina kwa kina Manfongo
Imeandikwa wapi kuwa mtu mzima hatakiwi kuwepo kwenye social media .........Na yale matangazo anayoyawekaga huwa uyaoni,au unadhani anafanya bure ..........Au hujawahi kuona yupo kwenye tangazo la Voda,unadhani hasingekuwepo huko social media angelipata lile dili ......Usimfananishe yule mama na mimama ya hovyo, yule Mama anatengeneza pesa nyingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…