mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
Mmeshaambiwa "Ngo kigoma hatoki boyi" (in braza K voice)muangalie asiwashukie huku huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na yule mamake Wema anayebwatukia bwatukia watu nae ni mama wa Uswahilini?!Nachelea kutusi watu lakini ndio kinamama wa uswahilini walivyo, haishangazi.
Umeongea maneno ya maana sanaUnaweza ukasema labda ni kwasababu hawana elimu..lakini ukageuka na kukumbuka yanayoendelea sasa ya yule professor msomi na wale ma-Dr wa "..nihurumie mimi nimekosea..sina pakwenda mimi.."
Mwisho utagundua kwamba busara na hekima bado vinaendelea kuwa vitu vya msingi sana katika utu wa binaadam
Very interesting!Hapo wakusoma alama za nyakati ni mama yake haiwezekani yuko age ya 50's anakuwa mjingamjinga
50's....[emoji15] [emoji15]Hapo wakusoma alama za nyakati ni mama yake haiwezekani yuko age ya 50's anakuwa mjingamjinga
Mtu Mzima Kwenye Social Media Unatafuta Nn Kwanza.. Hufanyi Business Wala Nn Unapost Tu. bora Ukae Ule Hela Za Mwanao tu kuliko kujidhalilisha..MAMA LA MIAKA 50,KWANINI WEWE ULITUKANE ......??
Imeandikwa wapi kuwa mtu mzima hatakiwi kuwepo kwenye social media .........Na yale matangazo anayoyawekaga huwa uyaoni,au unadhani anafanya bure ..........Au hujawahi kuona yupo kwenye tangazo la Voda,unadhani hasingekuwepo huko social media angelipata lile dili ......Usimfananishe yule mama na mimama ya hovyo, yule Mama anatengeneza pesa nyingi sana.Mtu Mzima Kwenye Social Media Unatafuta Nn Kwanza.. Hufanyi Business Wala Nn Unapost Tu. bora Ukae Ule Hela Za Mwanao tu kuliko kujidhalilisha..
Ndo Matatizo Ya Uswazi Kina kwa kina Manfongo