Diamond: Tayari nimeshanunua ndege binafsi (private jet)

Star wa muziki kutoka Tandale haishiwi surprises, kutoka Tandale mpaka kumiliki ndinga za maana kama Rolls royce, escalede mbili na gari yake yenye hadhi ya chini ikiwa ni v8 hizi za mawaziri na wabunge... sasa kaja na jipya lengine ambalo kama ni kweli basi si kwamba kapiga hatua bali kachana msamba

Akiwa anahojiwa kwenye Interview kituo cha DW Africa nchini ujerumani, Diamond alikuwa akizungumzia namna msanii anavyotakiwa kuishi au kuwa ili kupata ile heshima unayostahili na kuingiza mkwanja wa kutosha (msanii unavyotakiwa kujiwekeza mwenyewe)

"Mfano kwa mtu kama mimi ambaye nimetokea mtaani, kwasasa nanunua gari la kifahari lenye thamani hadi tsh. Bilioni 2.3/=... Kwahiyo itabidi ufanye hivyo kwani usipofanya hivyo hawatakuona wewe ni wa thamani (watakuchukulia poa)... Na sasa tayari nimeshanunua ndege binafsi (private jet)" - Diamond Platnumz
Ktk hili ngoja tu niwe Tomaso na niweke akiba ya maneno.
 
Acheni kumsifia mwanaume mwenzenu mpk mishipa ya shingo imewasimama si mnunue na nyie?
 
roho ya kimasikini hii, ni kama mashabiki wa simba walianza kusema Yanga hawana pesa ya kumsajili Azizi Ki, wakaja kusema picha aliyopiga ya usajili ni edit, haya sasa kafika Yanga wanasema ni mchezaji wa kawaida [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah vituko haviishi tyuuh, Domolayaa akikosaga kiki anazusha tyuuh chochote ili azungumzwe, woiiiiiih

Na machawa wake wanasimama dedee kushangilia, kumbe anawachotaa khaaah
 
Sasa kama ni hii mbona inaonekana kama mbovu au ndio design yake,au atakuwa amenunua used anasubiria kuifanyia matengenezo ndio aje nayo huku...?
H𝚞𝚢𝚘 𝚑𝚊𝚝𝚊 𝚊𝚔𝚒𝚗𝚞𝚗𝚞𝚊 𝚝𝚞 𝚖𝚕𝚊𝚗𝚐𝚘 𝚒𝚗𝚊𝚝𝚘𝚜𝚑𝚊 𝚠𝚎𝚠𝚎 𝚑𝚊𝚝𝚊 𝚗𝚓𝚒𝚠𝚊 𝚊𝚗𝚊𝚔𝚞𝚜𝚑𝚒𝚗𝚍𝚊
 
Story tu hizo
Hana hela ya kununua ndege huyo.
 
H𝚞𝚢𝚘 𝚑𝚊𝚝𝚊 𝚊𝚔𝚒𝚗𝚞𝚗𝚞𝚊 𝚝𝚞 𝚖𝚕𝚊𝚗𝚐𝚘 𝚒𝚗𝚊𝚝𝚘𝚜𝚑𝚊 𝚠𝚎𝚠𝚎 𝚑𝚊𝚝𝚊 𝚗𝚓𝚒𝚠𝚊 𝚊𝚗𝚊𝚔𝚞𝚜𝚑𝚒𝚗𝚍𝚊
[emoji23][emoji23]
 
Star wa muziki kutoka Tandale haishiwi surprises, kutoka Tandale mpaka kumiliki ndinga za maana kama Rolls royce, escalede mbili na gari yake yenye hadhi ya chini ikiwa ni v8 hizi za mawaziri na wabunge... sasa kaja na jipya lengine ambalo kama ni kweli basi si kwamba kapiga hatua bali kachana msamba

Akiwa anahojiwa kwenye Interview kituo cha DW Africa nchini ujerumani, Diamond alikuwa akizungumzia namna msanii anavyotakiwa kuishi au kuwa ili kupata ile heshima unayostahili na kuingiza mkwanja wa kutosha (msanii unavyotakiwa kujiwekeza mwenyewe)

"Mfano kwa mtu kama mimi ambaye nimetokea mtaani, kwasasa nanunua gari la kifahari lenye thamani hadi tsh. Bilioni 2.3/=... Kwahiyo itabidi ufanye hivyo kwani usipofanya hivyo hawatakuona wewe ni wa thamani (watakuchukulia poa)... Na sasa tayari nimeshanunua ndege binafsi (private jet)" - Diamond Platnumz

#Swahilination
 
Back
Top Bottom