Diamond: Tayari nimeshanunua ndege binafsi (private jet)

Habari zenu Wana jamvi humu jf.

Hope mko salama wasalimini na kila mmoja tumshukuru Mwenyezi Mungu Kwa kutujalia maisha na mema tunayoyaishi kila mmoja Kwa kiasi na kiwango chake kiwe kidogo au kikubwa lakini bado tunashukuru kwa kuwa kushukuru ni uungwana.
Moja Kwa Moja niende kwenye point.

Kwa hizi habari ambazo Almasi mwenyewe kadhibitisha za kununua ndege yake binafsi.
Je Kuna yeyote anayefahamu ni ndege ya aina gani? Imemgharimu kiasi gani ? Iliundwa mwaka gani ?Ina gharama Kiasi gani kuiendelesha?

Karibuni Uzi tayari.
 
Subiri itoke kiwandani
 
Hongera sana Chibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…