Diamond: Tayari tumepata leseni ya kurusha Wasafi FM nchi nzima

Diamond: Tayari tumepata leseni ya kurusha Wasafi FM nchi nzima

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz kupitia interview aliyoifanya kwenye Sports Arena amefunguka baada ya kuulizwa na Maulidi Kitenge kuhusu Wasafi Media kwenda mikoani.

Amefunguka "Mwanzo tulikuwa hatujapa leseni ya Serikali kurushwa redio nchi nzima ila kwa mwaka huu tumeaminika na tumepewa leseni na Serikali kurushwa nchi nzima muda si mrefu tutaanza kurusha mikoani"
 
Write your reply...KAMA KIBA ANGETAKA REDIO YAKE ISIKIKE DUNIA NZIMA ANGEWEZA SEMA TU MITAMBO ALIYO WEKA RADIO YAKE KING FM INASIKIKA KWAKE TU HATAKI WATU WAIJUE SABABU HAPENDAGI SHOW OFF
YENTE YENTE
 
Write your reply...KAMA KIBA ANGETAKA REDIO YAKE ISIKIKE DUNIA NZIMA ANGEWEZA SEMA TU MITAMBO ALIYO WEKA RADIO YAKE KING FM INASIKIKA KWAKE TU HATAKI WATU WAIJUE SABABU HAPENDAGI SHOW OFF
Kiba hapendi shoofu
 
Back
Top Bottom