Diamond: Tayari tumepata leseni ya kurusha Wasafi FM nchi nzima

nikiangalia haka kamjadala kalivyogeuka kuwa cha kumzungumzia kiba, ni dhahiri kuna tatizo kubwa humu.....kuna watu wana ugonjwa wa 'kinyeredi' humu. si kawaida hii. inasikitisha!! narudia kwa sauti, KUNA WATU WANAUMWA 'KINYEREDI' HUMU! Msaada tafadhali!!!!
 
Kwenye hili jukwaa nazani Kiba anaongoza kwa kukejeliwa na kudhahakiwa na members
 
Write your reply...KAMA KIBA ANGETAKA REDIO YAKE ISIKIKE DUNIA NZIMA ANGEWEZA SEMA TU MITAMBO ALIYO WEKA RADIO YAKE KING FM INASIKIKA KWAKE TU HATAKI WATU WAIJUE SABABU HAPENDAGI SHOW OFF
King FM live from mjengoni Ugombolwa street around Tabata Sanene, Yoooooo
 
Kwenye hili jukwaa nazani Kiba anaongoza kwa kukejeliwa na kudhahakiwa na members
na mnajitahidi kweli,mnasahau hata boss wenu ananuna sasa maana yeye shida yake huwa ni kutajwa tajwa haijalishi ni kwa kejeli,dharau,matusi au sifa.
 
nikiangalia haka kamjadala kalivyogeuka kuwa cha kumzungumzia kiba, ni dhahiri kuna tatizo kubwa humu.....kuna watu wana ugonjwa wa 'kinyeredi' humu. si kawaida hii. inasikitisha!! narudia kwa sauti, KUNA WATU WANAUMWA 'KINYEREDI' HUMU! Msaada tafadhali!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]nmekupa like

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...KAMA KIBA ANGETAKA REDIO YAKE ISIKIKE DUNIA NZIMA ANGEWEZA SEMA TU MITAMBO ALIYO WEKA RADIO YAKE KING FM INASIKIKA KWAKE TU HATAKI WATU WAIJUE SABABU HAPENDAGI SHOW OFF
[emoji16] [emoji16] [emoji16]

Wanangu wa A town inakuaje??
 
Kwahyo kiba hataki ela mpk radio yke iwe ya muda mrefu na isikike njombe kwamba dar haijui au? Na kama ipo bas kuna matangzo ya biashara ya togwa na mahindi safi kw makande Not like hatak showoff,hana mawe that's why cja pata kuijua company anayo ipiga promo mpk leo
 
Back
Top Bottom