Diamond tena; Youtube wampa zawadi ya ''Gold Play' Button'' kwa kufikisha subscribers milioni moja

Hahahaha! unachokikataa wewe ndicho unachokifanya kwasasa!! sasa wewe mbona unahoji maisha ya wenzako mkuu? tena mpaka unawaita wapumbavu? anyway nadhani unachokifanya ndio level yako ilipofikia,keep it up!
Nimewaita wapumbavu wale ambao hawamtakii mema, na kama wewe umo hilo kundi wewe ni mmoja wa wapumbavu 😎

Upo very immature, ni kupoteza mda tu kubisahana na wewe ambae badala ya kuchangia positively and relevantly hii mada wewe umeendekeza kuchangia negatively bila relevancy ya uzi huu

Mpuuzi hupuuzwa, Dawa ya mj*nga mwache aongee mwenyewe😉
 
Anaposimama jukwaani kuipigia kampeni ccm basi ajue anawapoteza mashabiki wake wa vyama vingine,hivyo tu.
 
Tuliza mbunye!!kama umepangiwa kuolewa utaolewa tu!siyo lazima uonyeshe makalio wazi!! Kwa mwendo huu wanaume tutaishia kukuchezea tu!
 
Demokrasia ni kitendo cha kukubali kutokukubaliana na kila mtu ana uhuru wake na diamond sio wa kwanza kuwa na chama (usiubane uhuru wake wa kuchagua).pili sijui ulizaliwa mwaka gani ,hivi 2015 hujamuona Kiba akipiga kampeni karibia mikoa yote .Jay Z mwanachama wa Democratic na alichangia ktk kampeni za Obama,Hillary na bado mwaka huu kwa mara ya kwanza anashika namba moja kwa wa sanii wa Hip Hop wenye mkwanja mkubwa ,kwa hiyo muache nje ya mziki wake naye raia kama ww,usitake kubana uhuru wa mtu.
 
Anaposimama jukwaani kuipigia kampeni ccm basi ajue anawapoteza mashabiki wake wa vyama vingine,hivyo tu.
Jay Z kachagia fedha na kuwapigia kampeni Hilary na Obama kupitia Demokratiki na mwaka huu kwa mara ya kwanza kawa msanii mwenye ela ndefu kuliko wote.Diamond kampigia kampeni Kikwete ,Magu na mwaka huu kachaguliwa kuimba kome la dunia Russia na kumiliki Wasafi TV&Radio ukiacha mwaka jana alivyoburudisha ktk kombe la shirikisho la Afrika.DIAMOND ana haki na uhuru kama ulikuwa nao ww,kwani nje ya mziki wake naye ni raia kama wewe na DEMOKRASIA NI KITENDO CHA KUKUBALI KUTOKUKUBALIANA.
 
Bora umwambie huyu zumbukuku, mimi nimejaribu kumwelewesha ila kaishia kunitukana.
 
sinimesikiaga ule jama wa gubu yule king uchwara anasema eti diamond ananunuwa vieuw kayasema yeye pamoja na yule jama wamashimo kwenye mashavu dimpoj
 
Kwahiyo huyo kiba Anao hao 2m
 
Baada ya bapo wanalipwa au ndio gold ya maneno kwambaba unaambiwa "wewe ni gold "nawakati umavumbi na mavumbini utarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…