Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
- Thread starter
- #21
Nimewaita wapumbavu wale ambao hawamtakii mema, na kama wewe umo hilo kundi wewe ni mmoja wa wapumbavu 😎Hahahaha! unachokikataa wewe ndicho unachokifanya kwasasa!! sasa wewe mbona unahoji maisha ya wenzako mkuu? tena mpaka unawaita wapumbavu? anyway nadhani unachokifanya ndio level yako ilipofikia,keep it up!
Upo very immature, ni kupoteza mda tu kubisahana na wewe ambae badala ya kuchangia positively and relevantly hii mada wewe umeendekeza kuchangia negatively bila relevancy ya uzi huu
Mpuuzi hupuuzwa, Dawa ya mj*nga mwache aongee mwenyewe😉