Halafu huo wimbo hata video hauna.!Wakati sasa wa Ukimwona Remix...... Tunasubiri....
Ni wimbo mzuri mnoo katika nyimbo.zotee alizowahi kuimba. Team chibudee mwambieni boss wenu huo ni ushauri mzuri
Akitoa remix ata u haribu nadhani anatakiwa kutoa video kaaaaliiii......huo ni wimbo mzuri sana.Wakati sasa wa Ukimwona Remix...... Tunasubiri....