Diamond: Toa Remix [UKIMWONA]

Diamond: Toa Remix [UKIMWONA]

Amna,,angetoa nyimbo amerejea remix ,muendelezo wa ile avotoka kijijini
 
Ni wimbo mzuri mnoo katika nyimbo.zotee alizowahi kuimba. Team chibudee mwambieni boss wenu huo ni ushauri mzuri
 
Haaa mi pia namkubali sana dimond sema sina timu. Mwambieni sasa huo wimbo ni balaaa
 
Hakunaga kama ukimuona ndiyo maana christian bella alishangaa kuona jamaa hakuachia official.
Arudi kwa manecky na sometimes atupe genre za vile za wakat anaanza
 
Christian Bella alifanya remix yake na akafunika kweli kweli
 
Ngoma kali sana. Pamoja kwamba haijawa na promo aisee chuma hichi kinajiuza chenyewe. Miaka yote haujantoka moyon huo wimbo. Nakumbuka wakati anautoa nilikua Tutuo-Sikonge nafanya biashara ya karanga
 
Christian Bella alipga remix... na hata mond mwnyw na yemi alade coke studio walipga remix
 
Back
Top Bottom