Diamond toa wimbo mwingine lasivyo unapotea kwenye gemu

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Nimegundua kwa nini Diamond hutoa nyimbo hata tano ndani ya mwezi mmoja na akitulia kwa muda wa mwezi bila kutoa wimbo anafutika ghafla kwwnye ulimwengu wa muziki.

Hii itakuwa inatokana na nyimbo zake kukosa viwango hivyo kushindwa ktrend kwa muda mrefu vichwani mwa watu

Pamoja na kuachia nyimbo kama tatu hivi karibuni lakini zote zimeshachuja hivyo namshauri aote nyingine vinginevyo huku mtaani kwishinei
 
naona mmesha mmis tayari.... nenda kasikilze wa ray v... mpya na maphorisa dj
 
kwa sababu anajua kutunga.. anajiamini haishiwi nyimbooo.. sio wale wa mwaka mzima anatunga wimbo mmoja tu.. pili ana studio yake na maproducer aliowaajiri... hana haja ya kuhangaika akijisikia anatunga na kurecord tu angalau maproducer wasile mshahara wa bure bila kufanya kazi muda mrefu..

diamond ametoa ajira.. sio wale walioshindwa kumuajiri hata mdogo wao wa damu.. na hata ofisi hawana
 
Ukitaka nyimbo mpya nunua album yake, kuna nyimbo kama kumi mpya, kama unahamu ya nyimbo mpya na una visa, MasterCard ingia iTunes nunua album yake A boy from tandale,kama kweli wewe ni shabiki wa kweli wa Diamond .Alafu nini definition ya kuchuja au kutrend kwa upande wako, una smartphone alafu hujui kuitumia ingia YouTube angalia nyimbo 200 zinazotrend kuanzia Tanzania, Kenya, Uganda, Nigeria na Ghana alafu niambie msanii kutoka Tanzania yupo katika chati hizo au upo kichakani net hamna Mtarban ,ila si shangai kwani mtu anayeongozwa na chuki na wivu (kama ww) ni ngumu kufanikiwa wala kuona mazuri ya wenzake, hebu kaa chini njoo na reference za kutosha kuthibitisha ulichokiandika na si kuusemea ww moyo wako na usichokipenda ww usikitie hila. Kuna mtu katoa audio yake na vyone chaka chaka lkn imeshindwa kutrend hapa Tanzania (diamond katoa audio ya SIKOMI no kick ,no promo umeshika no moja YouTube siku NNE) na najua ww ni shabiki wake (kumbuka jf huwaaumbua wanafiki) na najua utakataa ,ila thread zako zipo.
 
HUYU MTOA POST BILA SHAKA ATAKUWA MSEE...NGE MANAKE WENYE TABIA HIZO NDO HUWA NA MAMBO KAMA YAKE
 
Mambo ya kutumia robots YouTube nani hafahamu? Gigy money nampa papa imehit kitaa kuliko wimbo wowote wa wasafi mwaka huu
 
Povu tu hakuna point uliyoongea! Album ya A boy from Tandale ina nyimbo 10 mpya! Are you serious? Album imejaa manyimbo yote ya zamani harafu unasema INA nyimbo mpya! Poor you!
 
Mtarban nabishana na mtu ambaye hata album hajanunua, hajui kuna nyimbo gani, ngapi mpya ngapi za zamani .Narudia tena unaongozwa na chuki na wivu na ndio maana huwezi ona zuri la diamond.Sibishani na ww coz you are hater (kama ke endelea, ila kama ni me ni hatari kwa jinsia yako) nimekuomba reference hujanipa hata reference moja,kuprove ulichoaandika zaidi ya kutoa mifokelo.
 

KUTVKENYA
Entertainment Friday Top 5 songs this year
1-Waka @diamondplatnumz ft morgan heritage

TheBeat1036fm UK NP

Mtoa mada ona hapo ya kwanza hapo Kenya imeshika ya kwanza hiyo waka ya diamond ijumaa ya Leo
Hapo pili ni uingereza wanapiga ngoma ya diamond Hallelujah.
Mchujo upi unaosemaa.?
 
Mambo ya kutumia robots YouTube nani hafahamu? Gigy money nampa papa imehit kitaa kuliko wimbo wowote wa wasafi mwaka huu
No research no right to speak.
Ebu fungua na wewe YouTube Account, ukifanikiwa ujiunga na huduma ya Matangazo (Adsense) then Pandisha video moja then Robots au Nunua views uone kama uta survive kwenye youtube monetization system.
Ujui kitu kaa kimya.
_OVA_
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…