Diamond: Tumeshapima DNA na kujua mtoto ni wa kike

Diamond: Tumeshapima DNA na kujua mtoto ni wa kike

mzushi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
3,094
Reaction score
4,252
Bwana mdogo Huyu alipokuwa anahojiwa na mtangazaji wa BBC na kuulizwa swali kama ameshajua Jinsia ha mtoto kwa kushangaza kabisa alijibu yes tumeshapima DNA na kujua mtoto wa ni wa kike.ushauri wangu kwa Dogo kwa kusema ukweli ame emprove sana kwenye Lugha Ila tatizo ni mbwembwe na uongo akiacha Uongo na mbwembwe lazima tutegemee makubwa zaidi toka kwake.
 
Kwa maelezo yake walitakiwa kwenda kupima ya mwisho ili kuji hakikishia kabisa lakini hawaja kwenda ila anaweza kuja wakike au wakiume...
 
Mie niliichukulia kama ameongelea hili na lile na hilo fulani.
 
Wenzake wanazidi kubeba tuzo yeye yupo anakomaa na waganda

Tuzo za mtu mmoja kupiga kura mara elfu moja ndio zifanyeje?

Waache wapokee, yeye amelala anachuma pesa za show ya leo. Kwahiyo mwache alale na Mganda kwani sio binadamu?
 
Dogo inaonekana alikuwa hajiamini kama anaweza kupata mtoto matangazo mpaka kero
 
Ni sawa tu na kama nyie mnavyokosea kusema maneno kwa kuchanganya na mengine wakati unaongea,,lakini haimaanishi kwamba hujui ni kupitiwa tu kwa kawaida ambapo kila binadamu duniani anakosea kutamka!.
 
Tuzo za mtu mmoja kupiga kura mara elfu moja ndio zifanyeje?

Waache wapokee, yeye amelala anachuma pesa za show ya leo. Kwahiyo mwache alale na Mganda kwani sio binadamu?

Hahahhaha mbona yeye kakosa hizo elfu moja,
 
Duh yani alishasahau kuwa demu alienda kupima ultra sound???? Hahahahahahha domo mwaka wako huu
 
Kwa maelezo yake walitakiwa kwenda kupima ya mwisho ili kuji hakikishia kabisa lakini hawaja kwenda ila anaweza kuja wakike au wakiume...

Hivi binadamu wa leo wana uwezo wa 100% ya kujuwa mtoto atakayezaliwa? Mimi siamini utra sound tuzitumie kwa magonjwa tu na siyo kushindana na Mungu. (Siandiki haya kwa sababu ya diamond bali kwa yeyote yule)
 
DNA? Au hamkusikia vizuri jamani? Hii mitoto mipiga dufu hiii
 
Back
Top Bottom