mzushi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 3,094
- 4,252
Bwana mdogo Huyu alipokuwa anahojiwa na mtangazaji wa BBC na kuulizwa swali kama ameshajua Jinsia ha mtoto kwa kushangaza kabisa alijibu yes tumeshapima DNA na kujua mtoto wa ni wa kike.ushauri wangu kwa Dogo kwa kusema ukweli ame emprove sana kwenye Lugha Ila tatizo ni mbwembwe na uongo akiacha Uongo na mbwembwe lazima tutegemee makubwa zaidi toka kwake.