kwaiyo we unaamini alifanya DNA kwaajili ya kuangalia jinsia ya mtoto ?!Technologia ni Dynamic Mkuu inabadilika na mahitaji ya watu.
Kuna njia wanaita "Free Cell DNA" hii inaweza kupima jinsia ya mtoto tena katika ubora na siku ya awali sana.
Ni vyema tuwe tunaji-update kila mara. Mambo hubadilika
Hivi kujua jinsia ya mtoto unapima DNA au ultrasound?
kwaiyo we unaamini alifanya DNA kwaajili ya kuangalia jinsia ya mtoto ?!
Aaahaaaa namuombea mungu uyo mtoto awe wake....sitaki hata kufukiria igundulike sio wakeKama ni DNA inawezekana Ilikuwa ni ya kumjuwa biological Father ni nani, maana hakuna dhambi na uzombie kama kulea damu ya mtu mwingine.
emprove????
Yaaani mtu anapiga wema halafu anaenda kupima si kusumbua tu madaktari huko
Wenzake wanazidi kubeba tuzo yeye yupo anakomaa na waganda
Bwana mdogo Huyu alipokuwa anahojiwa na mtangazaji wa BBC na kuulizwa swali kama ameshajua Jinsia ha mtoto kwa kushangaza kabisa alijibu yes tumeshapima DNA na kujua mtoto wa ni wa kike.ushauri wangu kwa Dogo kwa kusema ukweli ame emprove sana kwenye Lugha Ila tatizo ni mbwembwe na uongo akiacha Uongo na mbwembwe lazima tutegemee makubwa zaidi toka kwake.
Ameteleza kuongea tu bwana!kwani kukosea hakupo?
shangaa wewe....DAN kabla mtoto hajazaliwa hivi inawezekana au alijiropokea tu....
Hata kama Haujasoma General Knowledge inasaidia sana coz Knowledge is Power..Kwa Mfano mtu sio Mwanasheria lakini unaweza ukapitia vi-Notes online kuhusu sheria za kawaida tu,au hata kama sio engineer unaweza ukapitia vi_notes vya uinjinia kidogo etc Hivi inahitaji Degree kujua jinsia ya mtoto akiwa tumboni unapima Ultra-Sound?
wanasema sasa hivi unaweza pima kwa DNA pia kujua jinsia ya mtoto,kwa hiyo chibu yuko sahihi.
DNA hata siku moja haijatumiwa kujua jinsia ya mtoto!! huu ni uwongo wa hali juu kabisa,jinsia ya mtoto ni utra-sound tu ndio inayotumika..huyo domo hapo alichanganya madesa tu, msitetee upuuzi kuhalalisha vitu ambavyo havipo.DNA inaweza kupima jinsia ya mtoto but Utra sound ndio inayotumika kwa sasa..shule ya kusoma na kuelewa ni tofauti sana na shule ya kukariri...fyuuuu.Unaweza kujua jinsia ya mtoto kwa ultrasound but DNA ndo more modern kwenye kujua jinsia than Ultrasound.So he was very correct
Yaaani mtu anapiga wema halafu anaenda kupima si kusumbua tu madaktari huko
Tena kavukavu, maana walisema walijaribu kutafuta mtoto ikashindikana
Poor thinking! Watoto wa kikristo hawana akili za kipimbafu kama hizi maana wanajua wanachoongea! Eti DNA mtoto ni msichana! Mavi nini?
Wenzake wanazidi kubeba tuzo yeye yupo anakomaa na waganda