Diamond: Tumeshapima DNA na kujua mtoto ni wa kike

Diamond: Tumeshapima DNA na kujua mtoto ni wa kike

Technologia ni Dynamic Mkuu inabadilika na mahitaji ya watu.

Kuna njia wanaita "Free Cell DNA" hii inaweza kupima jinsia ya mtoto tena katika ubora na siku ya awali sana.

Ni vyema tuwe tunaji-update kila mara. Mambo hubadilika
kwaiyo we unaamini alifanya DNA kwaajili ya kuangalia jinsia ya mtoto ?!
 
kwaiyo we unaamini alifanya DNA kwaajili ya kuangalia jinsia ya mtoto ?!

Kama ni DNA inawezekana Ilikuwa ni ya kumjuwa biological Father ni nani, maana hakuna dhambi na uzombie kama kulea damu ya mtu mwingine.
 
Kama ni DNA inawezekana Ilikuwa ni ya kumjuwa biological Father ni nani, maana hakuna dhambi na uzombie kama kulea damu ya mtu mwingine.
Aaahaaaa namuombea mungu uyo mtoto awe wake....sitaki hata kufukiria igundulike sio wake
 
Diamond si mumuache tu mtoto wa mwanamke mwenzetu;
Akisema kosa, kwani kumchimba chimba tu hivyo?

Watu walitembea na ndimu kwenye pochi wakamla hela sasa naye anajihami,
Kusema DNA badala ya utrasound tu ni kosa jamani.

Kweli ukiwa na pesa kila mtu atakuhukumu.
 
DNA ipo vizuri zaidi kwenye kucheki jinsia kuliko ultra sound. Katika ultra sound kwa mfano, ni vigumu kujua jinsia ya mtoto mimba ikiwa bado changa lets say mwezi 1-4 ni ngumu but with DNA technology, jinsia ya mtoto inaweza kujulikana mapema sana.
 
Wenzake wanazidi kubeba tuzo yeye yupo anakomaa na waganda

ulitaka awe bize na nani mkuu? mbona kama wivu hivi au hisia zangu? jamaa anaingiza mpunga wa kutosha we umekomaa na tuzo, naona hiyo tuzo sijui tunzo imekulevya.
 
Bwana mdogo Huyu alipokuwa anahojiwa na mtangazaji wa BBC na kuulizwa swali kama ameshajua Jinsia ha mtoto kwa kushangaza kabisa alijibu yes tumeshapima DNA na kujua mtoto wa ni wa kike.ushauri wangu kwa Dogo kwa kusema ukweli ame emprove sana kwenye Lugha Ila tatizo ni mbwembwe na uongo akiacha Uongo na mbwembwe lazima tutegemee makubwa zaidi toka kwake.

na kweli wewe ni mzushi
 
Last edited by a moderator:
Hata kama Haujasoma General Knowledge inasaidia sana coz Knowledge is Power..Kwa Mfano mtu sio Mwanasheria lakini unaweza ukapitia vi-Notes online kuhusu sheria za kawaida tu,au hata kama sio engineer unaweza ukapitia vi_notes vya uinjinia kidogo etc Hivi inahitaji Degree kujua jinsia ya mtoto akiwa tumboni unapima Ultra-Sound?
 
wanasema sasa hivi unaweza pima kwa DNA pia kujua jinsia ya mtoto,kwa hiyo chibu yuko sahihi.
 
Unaweza kujua jinsia ya mtoto kwa ultrasound but DNA ndo more modern kwenye kujua jinsia than Ultrasound.So he was very correct
DNA hata siku moja haijatumiwa kujua jinsia ya mtoto!! huu ni uwongo wa hali juu kabisa,jinsia ya mtoto ni utra-sound tu ndio inayotumika..huyo domo hapo alichanganya madesa tu, msitetee upuuzi kuhalalisha vitu ambavyo havipo.DNA inaweza kupima jinsia ya mtoto but Utra sound ndio inayotumika kwa sasa..shule ya kusoma na kuelewa ni tofauti sana na shule ya kukariri...fyuuuu.
 
Yaaani mtu anapiga wema halafu anaenda kupima si kusumbua tu madaktari huko

We nae acha kiherehere na kisebo papo wema tu ndo umeona anaweza kua na ukimwi kazi kujifanya tu unajua mambo nyokoo sijapenda
 
Back
Top Bottom