Bwana mdogo Huyu alipokuwa anahojiwa na mtangazaji wa BBC na kuulizwa swali kama ameshajua Jinsia ha mtoto kwa kushangaza kabisa alijibu yes tumeshapima DNA na kujua mtoto wa ni wa kike.ushauri wangu kwa Dogo kwa kusema ukweli ame emprove sana kwenye Lugha Ila tatizo ni mbwembwe na uongo akiacha Uongo na mbwembwe lazima tutegemee makubwa zaidi toka kwake.
DNA? Au hamkusikia vizuri jamani? Hii mitoto mipiga dufu hiii
Diamond si mumuache tu mtoto wa mwanamke mwenzetu;
Akisema kosa, kwani kumchimba chimba tu hivyo?
Watu walitembea na ndimu kwenye pochi wakamla hela sasa naye anajihami,
Kusema DNA badala ya utrasound tu ni kosa jamani.
Kweli ukiwa na pesa kila mtu atakuhukumu.
kwaiyo we unaamini alifanya DNA kwaajili ya kuangalia jinsia ya mtoto ?!
Duh, wakati mwingine shule inasaidia....
Hata kama Haujasoma General Knowledge inasaidia sana coz Knowledge is Power..Kwa Mfano mtu sio Mwanasheria lakini unaweza ukapitia vi-Notes online kuhusu sheria za kawaida tu,au hata kama sio engineer unaweza ukapitia vi_notes vya uinjinia kidogo etc Hivi inahitaji Degree kujua jinsia ya mtoto akiwa tumboni unapima Ultra-Sound?
Hivi kujua jinsia ya mtoto unapima DNA au ultrasound?
Hata mie nilishangaa sanaa eti alienda kupima DNA,,hivi ni nini kwel maana ya DNA?
DNA hata siku moja haijatumiwa kujua jinsia ya mtoto!! huu ni uwongo wa hali juu kabisa,jinsia ya mtoto ni utra-sound tu ndio inayotumika..huyo domo hapo alichanganya madesa tu, msitetee upuuzi kuhalalisha vitu ambavyo havipo.DNA inaweza kupima jinsia ya mtoto but Utra sound ndio inayotumika kwa sasa..shule ya kusoma na kuelewa ni tofauti sana na shule ya kukariri...fyuuuu.
Naskia DNA inaweza pima jinsia ya mtoto ajae!!!
Damu ya mama inaweza kuonyesha jinsia ya mtoto ndani ya wiki saba tu mimba kutungwa
Blood Test Determines Gender at Seven Weeks | Pregnancy | Pregnancy.org
Wenzake wanazidi kubeba tuzo yeye yupo anakomaa na waganda