Diamond: Tumeshapima DNA na kujua mtoto ni wa kike

Diamond: Tumeshapima DNA na kujua mtoto ni wa kike

Bwana mdogo Huyu alipokuwa anahojiwa na mtangazaji wa BBC na kuulizwa swali kama ameshajua Jinsia ha mtoto kwa kushangaza kabisa alijibu yes tumeshapima DNA na kujua mtoto wa ni wa kike.ushauri wangu kwa Dogo kwa kusema ukweli ame emprove sana kwenye Lugha Ila tatizo ni mbwembwe na uongo akiacha Uongo na mbwembwe lazima tutegemee makubwa zaidi toka kwake.

Na Sidhani Kama Alijua Kuwa Kakosea,daaah!
 
Akija tokea tofauti na wakike basi jamaa atakuwa amelamba garasa!
 
Diamond si mumuache tu mtoto wa mwanamke mwenzetu;
Akisema kosa, kwani kumchimba chimba tu hivyo?

Watu walitembea na ndimu kwenye pochi wakamla hela sasa naye anajihami,
Kusema DNA badala ya utrasound tu ni kosa jamani.

Kweli ukiwa na pesa kila mtu atakuhukumu.

kweli dada wamwache chibu ajizalie
 
Hivi mganga wake yupo jamani? Ana lipi nyakati hizi tuzionazo? Aje atueleze mwendelezo wa yaleeee alipoishia
 
kwaiyo we unaamini alifanya DNA kwaajili ya kuangalia jinsia ya mtoto ?!

Soma katikati ya mistari utanielewa. Nazungumzia technologia na uwezekano wa kutumia DNA kuangalia jinsia ya mtoto. Swala la kupima au kutokupima yeye ndio anajua. Lolote linawezekana
 
Hata kama Haujasoma General Knowledge inasaidia sana coz Knowledge is Power..Kwa Mfano mtu sio Mwanasheria lakini unaweza ukapitia vi-Notes online kuhusu sheria za kawaida tu,au hata kama sio engineer unaweza ukapitia vi_notes vya uinjinia kidogo etc Hivi inahitaji Degree kujua jinsia ya mtoto akiwa tumboni unapima Ultra-Sound?

Ni umasikini tu ndo maana watu hukimbilia ultrasound, DNA test is the best even two month you can determine the sex of growing fetus ... so the man is is right 100% SIR
 
Alompa Diamond uicon wa taifa hajakosea hata kidogo yaaani kila atachofanya/zungumza mond lazima kiletwe Jf kijadiliwe this is too much aiseee it
 
Hata mie nilishangaa sanaa eti alienda kupima DNA,,hivi ni nini kwel maana ya DNA?

Wakuu mimi sio mshabiki wa huyo dogo ila baada ya kusoma maoni yote ya wachangiaji imebidi ni google ili kuupata ukweli, kitu hicho kinawezekana kabisa na kwa anaetaka kudhibitisha afungue website ya hii taasisi Nimble Diagnostics, jamaa wana uwezo wa kutambua jinsia ya mtoto kwa mama mjamzito mwenye mimba ya wiki 7 tu.
 
DNA hata siku moja haijatumiwa kujua jinsia ya mtoto!! huu ni uwongo wa hali juu kabisa,jinsia ya mtoto ni utra-sound tu ndio inayotumika..huyo domo hapo alichanganya madesa tu, msitetee upuuzi kuhalalisha vitu ambavyo havipo.DNA inaweza kupima jinsia ya mtoto but Utra sound ndio inayotumika kwa sasa..shule ya kusoma na kuelewa ni tofauti sana na shule ya kukariri...fyuuuu.

Damu ya mama inaweza kuonyesha jinsia ya mtoto ndani ya wiki saba tu mimba kutungwa
http://www.pregnancy.org/article/blood-test-determines-gender-at-seven-weeks
 
Back
Top Bottom