Kikombo1984
Member
- Feb 28, 2015
- 6
- 5
Unaweza kujua jinsia ya mtoto kwa ultrasound but DNA ndo more modern kwenye kujua jinsia than Ultrasound.So he was very correct
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sijaona chaajabu hapo Kiswahili chenyewe tunakosea ndiyo chakwetu itakuwa hicho kingereza? Acheni hizo.
Hivi binadamu wa leo wana uwezo wa 100% ya kujuwa mtoto atakayezaliwa? Mimi siamini utra sound tuzitumie kwa magonjwa tu na siyo kushindana na Mungu. (Siandiki haya kwa sababu ya diamond bali kwa yeyote yule)
Ameteleza kuongea tu bwana!kwani kukosea hakupo?
Kuna Article nimepitia inaonesha kuwa DNA test tells...
DNA? Au hamkusikia vizuri jamani? Hii mitoto mipiga dufu hiii
Kwa hiyo inawezekana kwa DNA kuonyesha jinsia ya mtoto?!
Wenzake wanazidi kubeba tuzo yeye yupo anakomaa na waganda
Dufu limefuata nini hapa?....poor thinking!
Na UKIMWI wamepima?
Dufu limefuata nini hapa?....poor thinking!
DNA inapimwa kujua mtoto ni wanani ...DNA si kipimo cha kujua jinsia ya mtoto ....na hisi yeye kwenye akili yake alikua anajua DNA ni kipimo cha jinsia ya mtoto
Poor thinking! Watoto wa kikristo hawana akili za kipimbafu kama hizi maana wanajua wanachoongea! Eti DNA mtoto ni msichana! Mavi nini?
Dufu limefuata nini hapa?....poor thinking!
Poor thinking! Watoto wa kikristo hawana akili za kipimbafu kama hizi maana wanajua wanachoongea! Eti DNA mtoto ni msichana! Mavi nini?