Diamond: Tumeshapima DNA na kujua mtoto ni wa kike

Diamond: Tumeshapima DNA na kujua mtoto ni wa kike

Ukitaka kujua ni jinsi gani uwezo wa mtu au wa watu kufikiri ni wa chini kabisa ni kuchangia au kushabikia kitu kidogo sana ambacho siyo significant katika context (muktadha) wa jambo linalojadiliwa.

Katika hoja hii muktadha ni kujua jinsia ya mtoto. Mimi siyo mzuri katika fani ya utabibu, nilitaraji ma great thinker watusaidie kuainisha njia za kuweza kutambua jinsia ili nasi tufaidike. Ninachoshuhudia katika uzi huu ni matusi na kejeli kupitiliza. Wenye ufahamu wa tiba tafadhali tujuzeni wengine tunapata shule hapa.
 
Damu ya mama inaweza kuonyesha jinsia ya mtoto ndani ya wiki saba tu mimba kutungwa
Blood Test Determines Gender at Seven Weeks | Pregnancy | Pregnancy.org
Sie tuko dunia ya kwanza kwa jaluo mwenyewe ambako wameishaanza kutest zali kwenye sayari ya mars, hawatumii DNA kujua jinsia ya mtoto eti leo uniambie nyie bongo - dunia ya tatu mnao huo ujasiri wa kujua jinsia kwa DNA ndani ya wiki 7????? hicho ni kichekesho cha mwaka mkuu..Diamond alikosea tu na hilo limetokana na shule yake ndogo kwa hio akakariri kuhusu DNA akasahau kumbe sivyo ndivyo..ni utra sound.
 
Back
Top Bottom