Diamond tumhurumie tu bado mtoto na ushamba akikua ataacha , ataiga tabia za akina wizkid.

Diamond tumhurumie tu bado mtoto na ushamba akikua ataacha , ataiga tabia za akina wizkid.

Naona kupostiwa na Rozay watu inawamix mix kiaina... Utasikia ile ni fotoshopu
 
Wakuu
Mond ni dhahiri ni mshamba akikua ataacha maana mmezoea oohh anaonewa wivu kwa kua kafanikiwa utahisi dunia nzima ni yeye Watu wana mkwanja mrefu lakini hawana dramma kama zake , ifikie hatua tumwache tusimseme akikua ataanza kubehave kama wizkid au ali kiba.
Mcheki Mange fasta.....
 
Kila mmoja na maisha yake, hujui alipotoka
 
Acha kupost upuuzi wewe ndio ukikua utaacha acheni kumfatafata mondi hata ukimchukia hakusaidii pambana na hali yako
 
Kuna ubaya gan dai kumgonga hamisa?.. Huyo zari asitafute huruma kwa wananchi nae ni mchepuko tu coz ajaolewa na dai
 
Wakuu
Mond ni dhahiri ni mshamba akikua ataacha maana mmezoea oohh anaonewa wivu kwa kua kafanikiwa utahisi dunia nzima ni yeye Watu wana mkwanja mrefu lakini hawana dramma kama zake , ifikie hatua tumwache tusimseme akikua ataanza kubehave kama wizkid au ali kiba.
d6354a0a8096c0ff5986453eefab5a9c.jpg

Tujifunze kuwa na akiba ya maneno
 
Back
Top Bottom