Diamond tumhurumie tu bado mtoto na ushamba akikua ataacha , ataiga tabia za akina wizkid.

Diamond tumhurumie tu bado mtoto na ushamba akikua ataacha , ataiga tabia za akina wizkid.

Wakuu
Mond ni dhahiri ni mshamba akikua ataacha maana mmezoea oohh anaonewa wivu kwa kua kafanikiwa utahisi dunia nzima ni yeye Watu wana mkwanja mrefu lakini hawana dramma kama zake , ifikie hatua tumwache tusimseme akikua ataanza kubehave kama wizkid au ali kiba.
pambana na hali yako achana na hao watu
 
d6354a0a8096c0ff5986453eefab5a9c.jpg

Tujifunze kuwa na akiba ya maneno
Asantee mkuu
 
Alikiba hana kitu cha kuonyesha zaidi ya way aliyoweka kichwa... Nyumba yake haijakamiliki cjui toka mwaka gan... Ameshndwa kumbeba Abdul Kiba ndugu yake... Roho mbaya ndo maana haendelei... Baraka da Prince kamkimbia kaona yule jamaa ms...ng.
 
Hana budi kuwa inspire wasanii chipukizi kuwa mziki unalipa tofauti na wanavyofkir. Davido, Wizkid, Mond wanaonyesha walivyonavyo but Alikiba anasema hana hiyo hulka ha ha hah. Mange kaacha kumpa promo ya jimbo ya mslovekia walipokopy
 
Wakuu
Mond ni dhahiri ni mshamba akikua ataacha maana mmezoea oohh anaonewa wivu kwa kua kafanikiwa utahisi dunia nzima ni yeye Watu wana mkwanja mrefu lakini hawana dramma kama zake , ifikie hatua tumwache tusimseme akikua ataanza kubehave kama wizkid au ali kiba.
bb3f433c859917afec5615fd5a695e01.jpg
 
Waswahili wacheni hizo. Mnazo hizi pesa? Alizonazo Mind au ............
 
Kwa kweli naunga mkono hoja hii. Yaani na alivyo muongo saaa,huyo demu wake kavujisha picha analala lala kama pono kwenye gari,kitandani halafu atudanganye one night stand mxiuuuuuuu zake. Yaani najipa break ya kuwa shabiki wake for a while
 
Back
Top Bottom