Unamlisha wewe huyo kiba, nazungumzia community imageSasa kiba ana hela gani?!
Ashasoma tayari huyu mtoto anaeiga tabia za mama yake.CC Diamond Plutnumz
Lini tuliwahi kuwasifia hao?Wakifanya akina Ross ,cris ,lil Wayne tekno mnawasifia
Akifa diamond eti mshamba
Bongo jau sana
Mcheki Mange fasta.....Wakuu
Mond ni dhahiri ni mshamba akikua ataacha maana mmezoea oohh anaonewa wivu kwa kua kafanikiwa utahisi dunia nzima ni yeye Watu wana mkwanja mrefu lakini hawana dramma kama zake , ifikie hatua tumwache tusimseme akikua ataanza kubehave kama wizkid au ali kiba.
Wee lini GRADUATION yenu????CC Diamond Plutnumz
Ndo tunaifanya sa hiviWee lini GRADUATION yenu????
Unamlisha wewe huyo kiba, nazungumzia community image
Wakuu
Mond ni dhahiri ni mshamba akikua ataacha maana mmezoea oohh anaonewa wivu kwa kua kafanikiwa utahisi dunia nzima ni yeye Watu wana mkwanja mrefu lakini hawana dramma kama zake , ifikie hatua tumwache tusimseme akikua ataanza kubehave kama wizkid au ali kiba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa kiba ana hela gani?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo tunaifanya sa hivi