Diamond ulichokifanya umenifanya nihamie timu kiba

Diamond ulichokifanya umenifanya nihamie timu kiba

Mlaumu aloandaa kwa kuwahadaa kuwa simba atakuepo, so kama ungeambiwa atakuepo Jay z kisha usimuone pia ungemlaumu yeye?
 
Reasoning capacity yako wewe mwanafunzi inatia mashaka. Wapiga promo wamewaingiza chaka then kosa anapewa Diamond? Haya mateam kumbe mpaka wanafunzi wa University!?
Niliwahi kuhoji hivi ni kwa Tanzania mtu anavyozidi kupata elimu ndio na ujinga nao unaongezeka?

Mkuu nadhani mlete mada amenijibu vizuri sana!

Kama mwanafunzi wa chuo kikuu atakuwa na mambo ya utimu si ndio ujinga unazadi kumuelemea?
 
Kama alikuwa anajua haendi na anaona jina lake likitumika ktk matangazo nafikiri ingekuwa ni busara kukanusha ili kuwapa imani shabiki zake.
Ubavu wa kukanusha mbele ya mtoto wa maliyamungu hana maay kwanza wako Bennett
 
Kama alikuwa anajua haendi na anaona jina lake likitumika ktk matangazo nafikiri ingekuwa ni busara kukanusha ili kuwapa imani shabiki zake.
Hivi wewe una uwezo wa kumpinga naibu Rais?
 
Unapata sh ngapi kuwa shabiki?ww bwege kweli,hata Mungu wako humfahamu ushamba wa jehanum huo badilika mshabikie akupaye pumzi
 
Back
Top Bottom