maulidimakalani
Member
- Mar 12, 2017
- 25
- 4
Niliwahi kuhoji hivi ni kwa Tanzania mtu anavyozidi kupata elimu ndio na ujinga nao unaongezeka?Reasoning capacity yako wewe mwanafunzi inatia mashaka. Wapiga promo wamewaingiza chaka then kosa anapewa Diamond? Haya mateam kumbe mpaka wanafunzi wa University!?
Ubavu wa kukanusha mbele ya mtoto wa maliyamungu hana maay kwanza wako BennettKama alikuwa anajua haendi na anaona jina lake likitumika ktk matangazo nafikiri ingekuwa ni busara kukanusha ili kuwapa imani shabiki zake.
Hivi wewe una uwezo wa kumpinga naibu Rais?Kama alikuwa anajua haendi na anaona jina lake likitumika ktk matangazo nafikiri ingekuwa ni busara kukanusha ili kuwapa imani shabiki zake.
Hahaha bongo nyosoMakonda mwenye fafafa na Jina fake anawakusanywa vijana wa chuo na kuwasimamisha wanuke jasho huku akiwahada LIVE!!