Diamond umefanya la maana kumchukua Marlaw

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Kama mnakumbuka vizuri Diamond alikutana na Marlaw wakati Marlaw alienda kwenye Tamasha la Wasafi lilofanyika Tabora na kumuomba awe sehemu ya tamasha but hakumpa nafasi lakini kumbe lengo lake Diamond lilikuwa kumpa Marlaw hiyo nafasi Dar-es-Salaam na kweli kwenye Tamasha la Wasafi litakalofanyika tarehe 9 mwezi huu.

Wasafi wame-comfirm Marlaw atapanda jukwaani.

Diamond big up kwa kuliona hili jembe, jamaa ni fundi Sana.
 
bado hakuna msanii mkali labda kama bado wanaendelea kusajili
 
Huyo Baba angepumzika tu jamani
 
Nyie watu nyie, haaaaa1 sasa unasema Marlow ni jembe na jamaa anajua sana, lakini KAMA atakuwa sign WASAFI halafu kaamua kuondoka mtasema Diamond ndio kamtambulisha Marlow kwenye muziki kama mlivyo msakama Konde boy, Diamond anaangalia fursa hana msaada kwa asie na kipaji.
 
Andika mambo yanayoeleweka Basi mkuu,Ww unapingaje Kwamba Konde boy hajatambulishwa na kuibuliwa na Mond kwenye game ya muziki,wakati Konde Mwenyewe anakili hivyo??
 
Andika mambo yanayoeleweka Basi mkuu,Ww unapingaje Kwamba Konde boy hajatambulishwa na kuibuliwa na Mond kwenye game ya muziki,wakati Konde Mwenyewe anakili hivyo??
Kwa hiyo mondi alimchukua konde boy kwenye kijiwe cha kuosha magari akamfundisha kuimba eti eeeeh!?
 
Kwa hiyo mondi alimchukua konde boy kwenye kijiwe cha kuosha magari akamfundisha kuimba eti eeeeh!?
Kweli we ni kichwa ngumu au labda mgeni kwenye game.... Harmonize was a reject na kila mtu anajua...tena watu walikua hadi wanamtukana Diamond kumsain dogo ambae hajui
 
Kweli we ni kichwa ngumu au labda mgeni kwenye game.... Harmonize was a reject na kila mtu anajua...tena watu walikua hadi wanamtukana Diamond kumsain dogo ambae hajui
jifariji tu.
 
Kwa hiyo mondi alimchukua konde boy kwenye kijiwe cha kuosha magari akamfundisha kuimba eti eeeeh!?
Kichwa chako hakina akili. kimejaa upepo na kumbukumbu za kuvukia barabara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…