Jibu ni kwa jinsi gani teknolojia itafanya watu waache kusikiliza redioMfano wako wa simiyu haupo relatively na suala nililoliongea
Halafu ukakosea njia zaidi pale unapofananisha Marekani na apa bongo..yaaan ni vitu viwili tofauti
Ukitaka nikupe hoja ya msingi,basi nijbu kwa hoja ya msingi mkuu
Mimi hapa mmoja wapo kila ninapopata muda.Kuna watu bado wanasikilizaga radio 2019?
Namchukia sana DiamondWasalaam...
Ukiacha Clouds FM na East Africa radio ambao hawachezi nyimbo za Wasafi lakini kwa sasa wameongezeka E-fm nao hawachezi nyimbo za wasanii wawa safi...
Bado najiuliza hivi Diamond ana wakosea nini hawa watu ambacho kina wafanya wamchukie yeye na group lake?
Clouds Fm kupitia Kusaga walitangaza kuanaza upya na kusahau yote na hivi karibuni wataanza kupiga nyimbo zao..
Radio one wako tofauti kabisa na EA radio ...Radio one wanacheza nyimbo zote za Wasafi.
Bado najiuliza kwanini wamiliki wengi wa radio wanachukia challenge? Kwanini msanii akiendelea kidogo wana lazimisha kila mtu amuone mbaya?
Watangazaji wa E-FM wakiongozwa na Gerald hando wanamchukia sana Diamond hadi wanaonesha wazi....kwenye vipindi...
Gerald hando hutumia hadi ukurasa wake wa insta kumtukana Diamond as if Diamond alimchukulia mke wake.....
Hivi E-FM Diamond amewakosea nini? Mbona amekuwa akiwasupport sana?
Bado na jiuliza Diamond umemkosea nini Majizo?
ni utamaduni unaoenda kufa kama kutuma barua za kusalimianaMimi hapa mmoja wapo kila ninapopata muda.
Tubu ni dhambi kubwa kuchukia kiumbe cha mungu
hizo redio ulizozitaja kwa sasa zina nguvu gani..?, hiyo times si inasikika Dar, Pwani na Mbeya tuHakuna lolote bwana mbona hawayaleti hayo kwa Times,RADIO FREE,Radio one? bali ni kwa radio zinazo andaa matamasha na zinazo penda kutumia wasanii kutimiza mambo yao?
Ukweli ni kwamba hawa wamiliki wa radio hizo tajwa hugeuza biashara vita ..wakishindwa kumpata msanii wa Diamond basi ina geuka vita na diamond
Kivipi, ukiangalia apps za radio na tv zina downloads nyingi, mfano itv ina zaidi M1 downloads inamaanisha demand za wasikilizaji ipo na utamaduni hauwezi kufa leo wala kesho.ni utamaduni unaoenda kufa kama kutuma barua za kusalimiana
video ya kwangwaru ina viewers 30 million,account ya diamond ina fuatiliwa na watu 6 milKivipi, ukiangalia apps za radio na tv zina downloads nyingi, mfano itv ina zaidi M1 downloads inamaanisha demand za wasikilizaji ipo na utamaduni hauwezi kufa leo wala kesho.
Ni kweli labda ni admit traditional media zipo kwenye wakati mgumu. Lakini tech bado hajaua hitaji la wasikiilizaji na watazamajj wa tv.video ya kwangwaru ina viewers 30 million,account ya diamond ina fuatiliwa na watu 6 mil
Jamaangu kwa kukisia utakuwa unaumri wa kuzidi miaka 50 ,mkuu sijazungumzia tv ,nko kwenye redio ,wasikilizaji wengi wa redio ni vijijini na jamii zisizo na elimu ,leo kupata habari zote ni kiganjani tu mziki wowote pia muda wa kusikiliza redio mdogo sana ,kilicho fanya nkukisie umri ni eti website ya wasafi like really ,kuna watu bado mnafuatilia websites 2019?mi niliacha 2014 ,leo nkitaka jua wewe kama kakangu unaendeleaje ,nafungua accnt yako insta ,tweeter nakuwa updated in full prof jay,mange ,jaydee ,dully,etc walikuwa na website zao 2000-2012 walishaachana nazo wako kwa instagram wote hao future imekataa mawebsiteNi kweli labda ni admit traditional media zipo kwenye wakati mgumu. Lakini tech bado hajaua hitaji la wasikiilizaji na watazamajj wa tv.
Ndio maana baadhi ya makampuni kuliona hilo ili kuadapt tech wakaanzisha online tv na radio mfano azam na itv.
Kwa sababu demand bado ipo hizi zimefanikiwa kupata downloads zaidi million kwa play.
Kuwa na followers wengi haimainishi kuwa utafanikiwa kwenye digital products zako.
Mfano wcb wanamiliki wasafi.com, hii web mbovu ambayo imefeli haipo hata kwenye top site 100 zenye watembeleaji wengi, kwa hiyo hakuna biashara.
Lakini ITV na azam hazina followers insta kama diamond lakini wanafanya vizuri? Demand ndio jibu.
Nikuulize swali la mwisho kwa nn video ya harmonize ni rahisi kutrend youtube na sio wasafi.com?
Vipi mkuu?AISEEE
Hongera Mkuu naona umetoka nje ya box!Naungana na wote waliotoa maoni tena ni mazuri na yana afya masikioni mwetu.
Kwaupande wangu (ni maoni tu) sio kama kuna ugomvi na kati ya redio na redio lah, sina neno moja la kitaalamu ambalo linatumika kwa nitakachokisema.
Kundi linaitwa Wasafi, Rekodi Lebo, inaitwa Wasafi, Redio inaitwa Wasafi, Televisheni inaitwa Wasafi. Nini maana yake? Jibu ni Wasafi ni Brand (bidhaa) Nijuavyo itakuwa nivigumu hilo neno Wasafi kutajwa kwenye redio stesheni nyingine hasa zilizosajiliwa kutoa burudani, wanaita muingiliano wa maslahi, nisawasawa wanaifanyia promosheni bidhaa ya Wasafi.
Mo Dewji akianzisha kituo cha redio, kwenye mazungumzo ya watangazaji wake hawawezi kutamka neno Mo Faya (hichi kinywaji cha Ali Kiba) au uvae T- shirt ya Vodacom uwe unafanyakazi Zantel. Au kipindi kilichodhaminiwa na Airtel kikiwahewani halafu kuna tangazo linalosomwa mwisho wa tangazo kuna namba za simu (0625 ******) hauwezi kusikia mtangazaji akitamka " wapigie kwenye Halotel.... atakuwa amefanya promosheni.
Huu ni uongo mwanzo mbona walikuwa wanapiga? na mbona kuna radio zinapiga na linatajwa? sema tuu wamiliki wana chuki sanaNaungana na wote waliotoa maoni tena ni mazuri na yana afya masikioni mwetu.
Kwaupande wangu (ni maoni tu) sio kama kuna ugomvi na kati ya redio na redio lah, sina neno moja la kitaalamu ambalo linatumika kwa nitakachokisema.
Kundi linaitwa Wasafi, Rekodi Lebo, inaitwa Wasafi, Redio inaitwa Wasafi, Televisheni inaitwa Wasafi. Nini maana yake? Jibu ni Wasafi ni Brand (bidhaa) Nijuavyo itakuwa nivigumu hilo neno Wasafi kutajwa kwenye redio stesheni nyingine hasa zilizosajiliwa kutoa burudani, wanaita muingiliano wa maslahi, nisawasawa wanaifanyia promosheni bidhaa ya Wasafi.
Mo Dewji akianzisha kituo cha redio, kwenye mazungumzo ya watangazaji wake hawawezi kutamka neno Mo Faya (hichi kinywaji cha Ali Kiba) au uvae T- shirt ya Vodacom uwe unafanyakazi Zantel. Au kipindi kilichodhaminiwa na Airtel kikiwahewani halafu kuna tangazo linalosomwa mwisho wa tangazo kuna namba za simu (0625 ******) hauwezi kusikia mtangazaji akitamka " wapigie kwenye Halotel.... atakuwa amefanya promosheni.