Ali Kiba ndio mwenye jipya?Ashafulia huyo hana jipya tena huyo
Jana nilikua nawaza vile slutnumz atajaza kama wale idols wa kikorea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaga mapicha ya ukumbi ulivyojaa
Jana nilikua nawaza vile slutnumz atajaza kama wale idols wa kikorea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Isije ikawa kama ile show sijui ya wapi anaimba tetema jukwaani kila mtu yuko busy na simu.Hana hio jeuri,hapo anapiga show kibarazan kwa mtu
Hata mitume hawakukubalika na wote. Ndivyo maisha yalivyoMmoja wetu akifeli ndio furaha ya watanzania. Hii nchi ibadilishwe jina, iitwe United Republic of Jealous People.
Isije ikawa kama ile show sijui ya wapi anaimba tetema jukwaani kila mtu yuko busy na simu.
Jipya?Ali Kiba ndio mwenye jipya?