Diamond umeshuka sana kimziki

Diamond umeshuka sana kimziki

Ndomo ni kajinga kajinga kasicho na elimu kajitu kanakodhani ngono ni sifa
 
Na hapo anakula hasara ya kugharamia timu anayoenda nayo kisa show off kutuoneshea kuwa bado yupo juu
Jamaa kaporomoka sana, hata beef na Zari ni kujaribu kuji-boost baada ya kuona Tanasha watu hawana muda nae.

Leo tunaona DAVIDO anapanda majukwaa makubwa kama SUMMER JAM na COCHEALLA na anashirikishwa na RUSS wa Marekani.

WIZKID anapanda majukwaani na kina TY DOLLAR SIGN, DRAKE na BREEZY.

Wakati huo huo Domo yuko busy INSTAGRAM anatukanana na OFFICIAL LYINN tena anaitwa MAVI
 
Team yake hawaoni hili jambo

Utakufa Kwa wivu
 
Duuuuh kweli kabisa
Wao jamaaa wana Fanya chochote ilimradi tu wapate hela hata kuimba matus kwao poa tuu .

At the same hawajui kua wanajiharibia
 
Kasikika mlevi moja ao kicha wa team kiba kasema eti diamond kashuka sana kimziki eti kuliko kwenda kutumbwiza dar ao kigoma yeye anaenda huko south Korea ...

Diamond ni punda kabisa hakuna hasiejua kua Korea kapeleka Drugs , hiyo kwenda kuimba ana zuga tu yeye na kundi lake
 
Back
Top Bottom