Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,767
Isije ikawa kama ile show sijui ya wapi anaimba tetema jukwaani kila mtu yuko busy na simu.
😂😂😂😂aiseeHana hio jeuri,hapo anapiga show kibarazan kwa mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isije ikawa kama ile show sijui ya wapi anaimba tetema jukwaani kila mtu yuko busy na simu.
😂😂😂😂aiseeHana hio jeuri,hapo anapiga show kibarazan kwa mtu
Jamaa kaporomoka sana, hata beef na Zari ni kujaribu kuji-boost baada ya kuona Tanasha watu hawana muda nae.Na hapo anakula hasara ya kugharamia timu anayoenda nayo kisa show off kutuoneshea kuwa bado yupo juu
Jamaa kaporomoka sana, hata beef na Zari ni kujaribu kuji-boost baada ya kuona Tanasha watu hawana muda nae.
Leo tunaona DAVIDO anapanda majukwaa makubwa kama SUMMER JAM na COCHEALLA na anashirikishwa na RUSS wa Marekani.
WIZKID anapanda majukwaani na kina TY DOLLAR SIGN, DRAKE na BREEZY.
Wakati huo huo Domo yuko busy INSTAGRAM anatukanana na OFFICIAL LYINN tena anaitwa MAVI
Utakufa Kwa wivuJamaa kaporomoka sana, hata beef na Zari ni kujaribu kuji-boost baada ya kuona Tanasha watu hawana muda nae.
Leo tunaona DAVIDO anapanda majukwaa makubwa kama SUMMER JAM na COCHEALLA na anashirikishwa na RUSS wa Marekani.
WIZKID anapanda majukwaani na kina TY DOLLAR SIGN, DRAKE na BREEZY.
Wakati huo huo Domo yuko busy INSTAGRAM anatukanana na OFFICIAL LYINN tena anaitwa MAVI
Duuuuh kweli kabisaJamaa kaporomoka sana, hata beef na Zari ni kujaribu kuji-boost baada ya kuona Tanasha watu hawana muda nae.
Leo tunaona DAVIDO anapanda majukwaa makubwa kama SUMMER JAM na COCHEALLA na anashirikishwa na RUSS wa Marekani.
WIZKID anapanda majukwaani na kina TY DOLLAR SIGN, DRAKE na BREEZY.
Wakati huo huo Domo yuko busy INSTAGRAM anatukanana na OFFICIAL LYINN tena anaitwa MAVI
Kasikika mlevi moja ao kicha wa team kiba kasema eti diamond kashuka sana kimziki eti kuliko kwenda kutumbwiza dar ao kigoma yeye anaenda huko south Korea ...
The law of diminishing returns....Na hapo anakula hasara ya kugharamia timu anayoenda nayo kisa show off kutuoneshea kuwa bado yupo juu