Diamond Umetuangusha kwenye Kideo Cha "WakaWaka" Iga Alichofanya Nay wa Mitego

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Hii video iko Ovyo sana na imekaa kishamba kweli. Mimi ni shabiki wa Diamond lakini kwa muziki huu amechemka Kabisa kuanzia kwenye wimbo na video yake haina quality hata kidogo.

Hii video iko Ovyo sana na imekaa kishamba kweli. Mimi ni shabiki wa Diamond lakini kwa muziki huu amechemka Kabisa kuanzia kwenye wimbo na video yake haina quality hata kidogo
ipo wapi
 
Hii video iko Ovyo sana na imekaa kishamba kweli. Mimi ni shabiki wa Diamond lakini kwa muziki huu amechemka Kabisa kuanzia kwenye wimbo na video yake haina quality hata kidogo
Kibakuli naye akatoa maumivu daily..alitegemea Diamond angetoa tarehe apate na yeye kiki kuptia kulinganishwa..pambana na hali zenu..maana mnapewa kiki hamjui kuitumia, mnaanza hadi matusi..sasa mmezimka
 
tim kiba wao ni kuponda tyuu.Mange kawaambukiza fitna na chuki zake kwa Domo

Hapo ni Ricky Ross.Collabo ijayo anatoka na JayZ kabisaa
 
Nd
Hii video iko Ovyo sana na imekaa kishamba kweli. Mimi ni shabiki wa Diamond lakini kwa muziki huu amechemka Kabisa kuanzia kwenye wimbo na video yake haina quality hata kidogo
Ndivyo mnavyojifanyaga sik zote kuwa ni mashabik wa Chibu kumbe team ushuzi....
 
Mi tangu nilipoisikia audio nilijua tu hata video itakuwa mayepe tu
 
Mzigo uko fresh tu,tatizo lipo kwenye simba kuingia kwenye mfumo wa hisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…