Hii video iko Ovyo sana na imekaa kishamba kweli. Mimi ni shabiki wa Diamond lakini kwa muziki huu amechemka Kabisa kuanzia kwenye wimbo na video yake haina quality hata kidogo.
My brother from another mother naamini unapitia humu JF huu uzi ni kwa ajili yako, kusema kweli kwenye kideo cha wakawaka ulichomshirikisha rick ross mi naona ni video yako ya ajabu kuwahi kutokea, kwanini hukuamua kuismamia iwe kama zinavyokua video zako nyingine, yani nibora ungeshoot hapa hapa bongo tu mbona watoto wa kali wapo kibao tu na location kali zaidi ya hizo ulizoshootia zipo, kwenye video yako hao ma video queens sio wakali kama tulivyozoea kwenye video zako nyingine bro, yani inaonyesha kabisa uliamua kubania bajet kwenye hii video mzee,
Embu tazama hii video ya Nay wa mitego ambayo nimejaribu tu kuweka audio yako na video imependeza zaidi ya hyo official yako mzee, video ya nay rangi zimetulia watoto wazuri japo sio wazuri ki hivyo lakini wanajua kucheza na kuzungusha viuno tofauti na hao uliowaweka kwenye video yako
Please fanya Remix ya hii ngoma bana, ngoma ni tam sana ila video umetuangusha wabongo sana, wabongo hatutoi video za kishamba kama hizo skuizi, video cheap kama hizo waachie kenya au uganda ambao ni kama underground bado wanakuja kimuziki
Ni hayo tu mzee