Hata wewe umeliona hilo eeh? Nyimbo za laizer hazijai ila anachofanya ni kuweka bass kubwa!Laizer ni tatizzo kwa production za Kimataifaa aiSe anamuangusha sna. Jmaaa, Anagli anauwezo wa kumtumia Tuddy or Nahreel. Production ni mbovu kusema Kweli.
Ajuza katika ubora wake. Shikamoo Mama Koku.Hii video iko Ovyo sana na imekaa kishamba kweli. Mimi ni shabiki wa Diamond lakini kwa muziki huu amechemka Kabisa kuanzia kwenye wimbo na video yake haina quality hata kidogo
Acha ujinga si kila nyimbo ya Diamond nzuri...na si kila nyimbo ya Diamond mbayaIla kuna watu wa ajabu saaana, naamin diamond akitoa wimbo mwingine mtakuja kusema hapa ni mbaya afadhali waka hamuishiwi binadamu. Kama kitu hujakipendaachana nacho kuna wengine watakipenda
Mkuu, naomba tuheshimiane. Tusivunjiane heshima kwa sababu ya hawa waimba mziki.Acha ujinga si kila nyimbo ya Diamond nzuri...na si kila nyimbo ya Diamond mbaya
Kibaya kitasemwa,kizuri kitasifiwa..."kama kitu hujakipenda achana nacho" si na angejirekodia akasikiliza mwenyewe ndani ???
Wimbo wa alikiba ule upo normal ...wakawaida sana....watu hawajaponda sababu hajafanya maandalizi ya kifikra kwa mashabiki....sasa diamond kumuweka mtu attention alaf mwisho wa siku unatoa moto wa vifuu ........Ungemalizia kwa kusifia maumivu/day maana mashabiki wa kibakuli mapimbi sana huwa mnanyifanya mashabiki wa mondi ili tuu mpate kumchafua.
inakuja soonAahhh na yako iko wapi na rick
Vzrinakuja soon
kakwambia na yeye ni msanii.. watz mbona tunakuwa wajingawajinga hivyo??Weka ya kwako tulinganishe
Hata wewe unaweza kumuuliza na akakujibu pia..!Natamani Waandishi wamuulize haya maswali Diamond
1 Kwanini uapenda kucopy almost kila nyimbo video despite malalamiko ya mashniki zako
2 kwanini video zako hazionekani tena vevo
game toka vocha inaitwa dola kenge wee huyo domo wa juzi msimlinganishe na king kabisaaaaa nyau nyie.Kibakuli naye akatoa maumivu daily..alitegemea Diamond angetoa tarehe apate na yeye kiki kuptia kulinganishwa..pambana na hali zenu..maana mnapewa kiki hamjui kuitumia, mnaanza hadi matusi..sasa mmezimka